Mwakyembe anvyowahadaa Watanzania

Nipisheni

Member
Oct 15, 2012
24
3
Waziri huyu ambae amekua na tabia ya kujipatia misifa,hivi karibuni amezuia watumishi waliopo chini ya wizara hiyo wasipande daraja la kwanza wanapo safiri na ndege kwa tafsiri kwamba watanzania wengi bado ni maskini.

Mwakyembe angekua mkweli wa kutaka kusaidia watanzania asingekwenda kuzindua bodi yake mkoani Tanga.Akae atafakari ni kiasi gani cha fedha kingeokolewa kama kazi hiyo ingefanyika Dar es salaam.Gharama iliyotumika kuzindua bodi yake ingetosha kabisa kununulia madawa ya zahanati tatu katika jimbo lake na badala yake anatoa amri za kitoto kwa watanzania kwamba yeye ni mzalendo.
 
Nipisheni naona chuki binafsi dhidi ya Mwakyembe haikwepeki kwenye kauli zako.
Vp, kwani kuna ubaya gani ukijiongezea nauli kisha usafiri na business class?
Waziri huyu ambae amekua na tabia ya kujipatia misifa,hivi karibuni amezuia watumishi waliopo chini ya wizara hiyo wasipande daraja la kwanza wanapo safiri na ndege kwa tafsiri kwamba watanzania wengi bado ni maskini.

Mwakyembe angekua mkweli wa kutaka kusaidia watanzania asingekwenda kuzindua bodi yake mkoani Tanga.Akae atafakari ni kiasi gani cha fedha kingeokolewa kama kazi hiyo ingefanyika Dar es salaam.Gharama iliyotumika kuzindua bodi yake ingetosha kabisa kununulia madawa ya zahanati tatu katika jimbo lake na badala yake anatoa amri za kitoto kwa watanzania kwamba yeye ni mzalendo.
 
Last edited by a moderator:
Huna hoja ya msingi hayo ni Majungu,wivu wa kijinga na upuuzi
wewe naona babaako kafukuzwa bandarini au unatumika bila kujijua
nyota huwa haifichwi gizani coz ndo itang;aa sana na kuonekana zaidi,ukitaka kuificha nyota kama ulivyotumwa na mabwana zako ifiche kwenye mwanga tena wakati wa jua kali
 
Lazima mkae safari hii!Tatizo wabongo mnapenda sana starehe kuliko kazi yaani kwani ukikaa daraja la 3 hutafika?
 
Wazee wa Bandari siku hizi hatuwasikii kwenye nyimbo na majukwaani kama kawaida yenu,mnacheza na Mwakyembe!
 
Waziri huyu ambae amekua na tabia ya kujipatia misifa,hivi karibuni amezuia watumishi waliopo chini ya wizara hiyo wasipande daraja la kwanza wanapo safiri na ndege kwa tafsiri kwamba watanzania wengi bado ni maskini.

Mwakyembe angekua mkweli wa kutaka kusaidia watanzania asingekwenda kuzindua bodi yake mkoani Tanga.Akae atafakari ni kiasi gani cha fedha kingeokolewa kama kazi hiyo ingefanyika Dar es salaam.Gharama iliyotumika kuzindua bodi yake ingetosha kabisa kununulia madawa ya zahanati tatu katika jimbo lake na badala yake anatoa amri za kitoto kwa watanzania kwamba yeye ni mzalendo.
,kuna ndugu yako aliyepigwa chini kwenye bodi? chuki binafsi,
 
Me nilidhani alikwenda London tena kwa kupanda ndege first class! kumbe amekwenda kuzindua bodi Tanga!? Mimi sio mfuasi wa Mwakyembe lakini sioni hoja hapo.
 
mkuu Tanga hakwenda kuzindua Bodi aliyoiteua la hasha, bali tume aliyoiunda kuchunguza tpa ilikuwa inasilisha ripot yake kwa wajumbe wa Bodi kazi ambayo ilifanikiwa 100% na mzee akaondoka zake na ndege zile coastal airline.
 
Uwezo wako wa kufikiri una walakini. Anastahili pongezi kwa hilo..hizi chuki binafsi tujitahidi kuzidhibiti.
 
Waziri huyu ambae amekua na tabia ya kujipatia misifa,hivi karibuni amezuia watumishi waliopo chini ya wizara hiyo wasipande daraja la kwanza wanapo safiri na ndege kwa tafsiri kwamba watanzania wengi bado ni maskini.

Mwakyembe angekua mkweli wa kutaka kusaidia watanzania asingekwenda kuzindua bodi yake mkoani Tanga.Akae atafakari ni kiasi gani cha fedha kingeokolewa kama kazi hiyo ingefanyika Dar es salaam.Gharama iliyotumika kuzindua bodi yake ingetosha kabisa kununulia madawa ya zahanati tatu katika jimbo lake na badala yake anatoa amri za kitoto kwa watanzania kwamba yeye ni mzalendo.

Tumtumu kwa lipi wakati Tanga amefika huko kwa kutumia basil la RAHA LEO?
 
shenzi zenu mwaka huu lazima muuze hata misingi ya nyumba mlio anza kujenga na bado mtaona bora kufundisha sekondari kuliko hapo bandarini

maana huko shuleni unaweza fundisha hata tuition ukapata cha juu
 
Waziri huyu ambae amekua na tabia ya kujipatia misifa,hivi karibuni amezuia watumishi waliopo chini ya wizara hiyo wasipande daraja la kwanza wanapo safiri na ndege kwa tafsiri kwamba watanzania wengi bado ni maskini.

Mwakyembe angekua mkweli wa kutaka kusaidia watanzania asingekwenda kuzindua bodi yake mkoani Tanga.Akae atafakari ni kiasi gani cha fedha kingeokolewa kama kazi hiyo ingefanyika Dar es salaam.Gharama iliyotumika kuzindua bodi yake ingetosha kabisa kununulia madawa ya zahanati tatu katika jimbo lake na badala yake anatoa amri za kitoto kwa watanzania kwamba yeye ni mzalendo.

Duh, tutasikia mengi.
 
Vipi mkuu inauma nini na wewe uko katika mkumbo huo???? Hivi mawaziri woote na wakubwa wangeiga mfano wa Mwakwembe taifa lingeokoa Tshs ngapi????

Waziri huyu ambae amekua na tabia ya kujipatia misifa,hivi karibuni amezuia watumishi waliopo chini ya wizara hiyo wasipande daraja la kwanza wanapo safiri na ndege kwa tafsiri kwamba watanzania wengi bado ni maskini.

Mwakyembe angekua mkweli wa kutaka kusaidia watanzania asingekwenda kuzindua bodi yake mkoani Tanga.Akae atafakari ni kiasi gani cha fedha kingeokolewa kama kazi hiyo ingefanyika Dar es salaam.Gharama iliyotumika kuzindua bodi yake ingetosha kabisa kununulia madawa ya zahanati tatu katika jimbo lake na badala yake anatoa amri za kitoto kwa watanzania kwamba yeye ni mzalendo.
naona una beef na Mwakyembe
 
Pole sana ndugu yangu.Nakupa pole kwasababu jinsi ulivyoandika thread yake inaonekana wewe ni mmoja wa waathirika wa maamuzi ya Mwakyembe.Hata hivyo jipe moyo Tanzania ndivyo ilivyo.Kumbuka Mwakyembe ni Usalama wa Status Quo,kwa hiyo ana lofanya halitoki moyoni ila ni kwa maslahi ya Status Quo.Jipe moyo, Inshallah siku moja Mungu akipenda tutatoka kwenye utumwa huu.
Waziri huyu ambae amekua na tabia ya kujipatia misifa,hivi karibuni amezuia watumishi waliopo chini ya wizara hiyo wasipande daraja la kwanza wanapo safiri na ndege kwa tafsiri kwamba watanzania wengi bado ni maskini.

Mwakyembe angekua mkweli wa kutaka kusaidia watanzania asingekwenda kuzindua bodi yake mkoani Tanga.Akae atafakari ni kiasi gani cha fedha kingeokolewa kama kazi hiyo ingefanyika Dar es salaam.Gharama iliyotumika kuzindua bodi yake ingetosha kabisa kununulia madawa ya zahanati tatu katika jimbo lake na badala yake anatoa amri za kitoto kwa watanzania kwamba yeye ni mzalendo.
 
Tatizo mmezoea kuishi kwa mazoea..nyie ndio wale mkifukuzwa kazi tu mnajinyonga vumilieni wakuu.!
 
Waziri huyu ambae amekua na tabia ya kujipatia misifa,hivi karibuni amezuia watumishi waliopo chini ya wizara hiyo wasipande daraja la kwanza wanapo safiri na ndege kwa tafsiri kwamba watanzania wengi bado ni maskini.

Mwakyembe angekua mkweli wa kutaka kusaidia watanzania asingekwenda kuzindua bodi yake mkoani Tanga.Akae atafakari ni kiasi gani cha fedha kingeokolewa kama kazi hiyo ingefanyika Dar es salaam.Gharama iliyotumika kuzindua bodi yake ingetosha kabisa kununulia madawa ya zahanati tatu katika jimbo lake na badala yake anatoa amri za kitoto kwa watanzania kwamba yeye ni mzalendo.
Unatatizo la ubinafsi tu na huna lolote.
Jiulize kama huko Tanga hakuna ofisi za TPA.
Mtoa mada hebu tukuulize wewe umetoa dawa kiasi gani kuisaidia hiyo jamii unayoizungumzia popote nchini.

Msilete matatizo binafsi badala ya mambo ya msingi, si ajabu mtoa mada ni kati ya wale waliofukuzwa kwa wizi TPA
 
Waziri huyu ambae amekua na tabia ya kujipatia misifa,hivi karibuni amezuia watumishi waliopo chini ya wizara hiyo wasipande daraja la kwanza wanapo safiri na ndege kwa tafsiri kwamba watanzania wengi bado ni maskini.

Mwakyembe angekua mkweli wa kutaka kusaidia watanzania asingekwenda kuzindua bodi yake mkoani Tanga.Akae atafakari ni kiasi gani cha fedha kingeokolewa kama kazi hiyo ingefanyika Dar es salaam.Gharama iliyotumika kuzindua bodi yake ingetosha kabisa kununulia madawa ya zahanati tatu katika jimbo lake na badala yake anatoa amri za kitoto kwa watanzania kwamba yeye ni mzalendo.

Mkuu unapenda kusafiri kwa daraja la kwanza? Naona Mwakyembe kakukamata pabaya!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom