Nipisheni
Member
- Oct 15, 2012
- 24
- 3
Waziri huyu ambae amekua na tabia ya kujipatia misifa,hivi karibuni amezuia watumishi waliopo chini ya wizara hiyo wasipande daraja la kwanza wanapo safiri na ndege kwa tafsiri kwamba watanzania wengi bado ni maskini.
Mwakyembe angekua mkweli wa kutaka kusaidia watanzania asingekwenda kuzindua bodi yake mkoani Tanga.Akae atafakari ni kiasi gani cha fedha kingeokolewa kama kazi hiyo ingefanyika Dar es salaam.Gharama iliyotumika kuzindua bodi yake ingetosha kabisa kununulia madawa ya zahanati tatu katika jimbo lake na badala yake anatoa amri za kitoto kwa watanzania kwamba yeye ni mzalendo.