Wewe umejuaje wahusika wanajulikana?
Kama unawajua wataje hapa nasi tujue. Halafu, is it really confirmed ya kwamba amepewa sumu? Tena sumu hizo hapo juu au ni tetesi tuu hizi?
Tujuzane kiukweli jamani
<div style="display:none;"> <img src="//pixel.quantserve.com/pixel/p-95EVqn2X8Y6XI.gif" border="0" height="1" width="1" alt="Quantcast"/> </div>

halafu wazee wa siasa maji taka uku wakigonganisha glasi kwa vyovyote wakipongezana kwa walichokifanya wakatwambia " Aaah Dr mwakyembe na Proffesa Mwandosya wanaendelea vizuri na karibuni watarudi wako salama kabisa, Jamani kwa hali hii katika picha au hizi picha zitakuwa ni za zamani?? maana katika picha kiukweli hiyo hali c nzuri, alosema kuwa yuko vizuri nae halitakii mema taifa hili, Ndugu zetu Dr mwakyembe na Proffesa Mwandosya kama tulivyoagizwa na Mungu mtukufu kuwa tukimuomba kwa dhati sala zetu atazisikia na kuzifanyia ivyo tunawaombea mpone pia mrudi nyumbani mkiwa salama, inshallah Mungu zipokee dua zetuNilipomwona kwa gazeti mwananchi jana 18.11.2011 nimetokwa sana na machozi. Jamani mwakyembe sidhani kama utarudi salama na kuendelea kuwatumikia hawa magamba. Pole sana dr.!!??
Acheni mambo ya kichochezi. Una uhakika gani kuwa ccm wamemlisha sumu?.
Mnajaribu kupandikiza chuki kati ya serikali na wananchi wake. Acheni hizo.
mkuu unafanya kazi kwa niaba ya magamba, umetumwa?? watu wako serious, tumeumizwa au mwenzetu umefuraishwa na hali iyo?? ilo la chenge nalo unabisha? acha hizo, nyie ndo mkipenda sana hata chongo mtaita ni kengeza, pia pengo utadai ni mwanya. unadhihirisha roho yako ilivyo kama magamba pia mafisadi wenzakoAcheni mambo ya kichochezi. Una uhakika gani kuwa ccm wamemlisha sumu?.Mnajaribu kupandikiza chuki kati ya serikali na wananchi wake. Acheni hizo.
CCM wabaya sana mwenyewe alishaliweka wazi hili hadi majina na plate number za magari yao, pole sana Mwakyembe CCM ni mafia usicheze nao tena.Jamani nani ana medical history ya Mwakyembe kabla ya matatizo haya?. Tusiwe watu wa kutoa hukumu kwamba amelishwa sumu kabla ya kujua ukweli.
Acheni mambo ya kichochezi. Una uhakika gani kuwa ccm wamemlisha sumu?.
Mnajaribu kupandikiza chuki kati ya serikali na wananchi wake. Acheni hizo.