Mwakyembe anasikitisha! Walaaniwe wanaohusika!


POLONIUM-210 not possible
 
Duh!!!siku ya kufa kwangu,kama Mungu ndo mwenye mamlaka na kama kwa nguvu zake uovu hautashinda basi wauaji wa Mwakyembe na wapatilizwe na hasira yake Mwenyezi
 
Hivi kwa mkemia mkuu wa serikali hakukua na tamko lolote eh? Taarifa za kiintelijensia zinahusiha maandamano tu? What a waste of resource' texas ingekua ndo arusha maandamano wangesimamiwa na farasi na mbwa!
 
Duh Hii Ni Hatari!! Kama Mungu angekuwa anapokea Rushwa Hawa watu wanaopenda Kurudisha Wenzao ahera wangependa Kuishi Milele!!
 
hiyo inaonyesha namna gani wanyama walivyo na roho ya huruma somtimes than human being!
 
Tuwekeeni picha basi tusikitike pamoja kwa ajili ya kamanda wetu ila sijui angekuwepo bunge hili ingekuwaje
 
nimetokwa machozi nilipoona picha ya mh mwakyembe gazeti la mwananchi ya leo akizungumza na sitta akiwa bado hosipitalini. Mwli wake umekuwa kama nyoka. Kama ni watu walimpa sumu ili watu wapate madaraka walaaniwe

tatizo la mwakyembe, aliwatishia mafisadi. Nashangaa kwa nini hajafa mpaka leo, kwani bado ni tishio lwa waliopora mali zetu. Somo ninolopata ni kuwa sio vizuri kumtishia mbaya wako, kama ni kumwangamiza angamiza, kama ni kumchunia mchunie. Kumtihia, akipata nafasi, inakula kwako. Anavuna alichokipanda
 
Jamani, yaani amekonda...atapona kweli. Ninyi ccm ninyi Mungu atawalaani, sijui mtaua wangapi, endeleeni lakini kuna siku itafika mwisho
 

Nina kumbuka mkuu wewe ulikuwa mmoja ya walioipinga ile ripoti yangu!
 


una evidence yoyote kwamba ni ccm ndio waliofanya hayo mambo...? Watu mbeya si mmechagua galasa liwe mbunge wenu ati sugu seriously... Kawasahau as if mmemchagua aende bungeni kugombana na ruge




shenzi...
 
Tatizo lake tamaa alionjeshwa uwaziri kaingia mkenge.Angebaki mbunge angejilinda mwenyewe, kitendo cha kuwa waziri maana yake lazima ulindwe kama sheria inavyotaka.pole zake anatuachia fundisho siku zijazo
 
kikombe cha babu kinaweza kumsaidia
 
tatizo lake tamaa alionjeshwa uwaziri kaingia mkenge.angebaki mbunge angejilinda mwenyewe, kitendo cha kuwa waziri maana yake lazima ulindwe kama sheria inavyotaka.pole zake anatuachia fundisho siku zijazo

ukiwa rafiki wa mchawi, kijiwe kimoja, kazi moja, mikakati the same, nawe unakuwa the same. Imemcost kabisaaa
 
wote si wadau wa ccj?

Huu ndiyo ujinga wa baadhi ya Watanzania unaoharibu intellectual discourse katika JF. Tunachomekachomeka tu irrelevat issues kwenye serious discussions. By the way, what is so special about CCJ kama si ushamba tu wa kisiasa tulionao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…