SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 50,094
- 75,538
WAUAJI ndio wanapaswa KUTUBU. Na hakika laana itawaangukia wakati wowote kuanzia sasa. Take my word.Wewe ongea kama umechanganyikiwa ila LAANA ya Watanzania millioni 45 ni kubwa sana! Hata mkimsingizia EL haisaidii. TUBUNI kwa waTanzania.
Ninawasiwasi na wewe ni mmojawapo wa wahusika wa kumzuru shujaa wetu!, lakini huwajui wazee wa kyela.tulisikia anajua kila kitu kinachoendelea,kama ameamua kukaa kimya kulinda chama chake na kujipendekeza kama ilivyo kawaida yetu ataenda kusemea huo ukweli kaburini
WAUAJI ndio wanapaswa KUTUBU. Na hakika laana itawaangukia wakati wowote kuanzia sasa. Take my word.
Nimetokwa machozi nilipoona picha ya Mh Mwakyembe gazeti la mwananchi ya leo akizungumza na Sitta akiwa bado hosipitalini. Mwli wake umekuwa kama nyoka. Kama ni watu walimpa sumu ili watu wapate madaraka walaaniwe
Picha kubwa: https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=41762&d=1321869350
Mara nyingi UONGO hausemwi hadharani tena mbele ya Waheshimiwa miatatu na ushei hivi. Uongo, kama yalivyo MAOVU mengine yote hayafanyiki hadharani.
Tanzania hatuna sense of privacy wala dignity kwa wagonjwa, mtu unaenda kumuangalia mgonjwa halafu unakuja kuwaambia waandishi wa habari "jamaa kanyonyoka nywele, kope, ndevu mpaka...." na waandishi wanaandika.
Ndiyo maana wengine wanaona gozigozi, hamna mtu zaidi ya close friends and family kujipendekeza.
MUNGU amponye dr Mwakyembe,ili aeleze aliyo yaficha kwenye ripoti ya RICHMOND,"Kwa heshima ya serikali"
Pole sana mheshimiwa
tulisikia anajua kila kitu kinachoendelea,kama ameamua kukaa kimya kulinda chama chake na kujipendekeza kama ilivyo kawaida yetu ataenda kusemea huo ukweli kaburini
Hizi scenario mbili hazifanani kabisaa. Bungeni ni wakali sana kwa anayeongopa. Lowasa na uimara wake na nguvu zake asingeunyamazia au kuukimbia uongo.Wildcard nawe sometimes unachekesha.
Marais au wabunge wakiomba kura wakati wa UCHAGUZI si huwa wanawadanganya wananchi? UONGO wao wanasemea chumbani?. Kampeni zinafanyika chumbani?
Hizi scenario mbili hazifanani kabisaa. Bungeni ni wakali sana kwa anayeongopa. Lowasa na uimara wake na nguvu zake asingeunyamazia au kuukimbia uongo.
Mungu atamtetea kutoka katika mikono ya wadhalimu waliomtenda.