Ugonjwa ni siri kwa sisi vipanya lakini kwa wafanya kazi wetu kama kikwete na mawaziri wake tunapaswa kujuzwa....Teeeeh....teeeeh...ugonjwa wa mtu ni siri kati yake na daktari (Mwandosya).Serikali iseme nini juu ya Mwakyembe?
linapofika swala kama hilo intelejensia huwa haifanyi kazi....Mwenzake(mzee six) ameona mwenzake alivyonyolewa na yeye ametia maji. Kila siku hupandisha ofisini kwake (water front) akiwa na chupa yake ya maji ya kunywa toka nyumbani kwake. akitumia yakiisha anatoka mwenyewe kwenda kutafuta kwenye maduka tofauti kila siku. Hii ni hatari sana uhasama unapofikia hatua hii. ni vizuri vile vile serikali ikatuambia bayana kwamba majibu ya mabingwa wa india yanasemaje, alikuwa anaumwa nini, na ugonjwa huo amaupataje????
Mimi pia niliona kwenye tv amevaa gloves, nina wasiwasi na hiyo kofia, yawezekana kichwani pamenyonyoka pia! chezea magamba wewe
Mwenzake(mzee six) ameona mwenzake alivyonyolewa na yeye ametia maji. Kila siku hupandisha ofisini kwake (water front) akiwa na chupa yake ya maji ya kunywa toka nyumbani kwake. akitumia yakiisha anatoka mwenyewe kwenda kutafuta kwenye maduka tofauti kila siku. Hii ni hatari sana uhasama unapofikia hatua hii. ni vizuri vile vile serikali ikatuambia bayana kwamba majibu ya mabingwa wa india yanasemaje, alikuwa anaumwa nini, na ugonjwa huo amaupataje????
Tena hiyo picha ya gazeti imemtoa kistaarabu. Mikononi alivaa ma-gloves meusi hivi. Ile nyumba yake pale Kunduchi kajenga kwa hela ipi?
Wanasema ugonjwa ni siri ya mgonjwa na daktari wake, lakini kwa afya ya viongozi nafikiri tunayo haki ya kujua hali ya afya zao.
Mwenzake(mzee six) ameona mwenzake alivyonyolewa na yeye ametia maji. Kila siku hupandisha ofisini kwake (water front) akiwa na chupa yake ya maji ya kunywa toka nyumbani kwake. akitumia yakiisha anatoka mwenyewe kwenda kutafuta kwenye maduka tofauti kila siku. Hii ni hatari sana uhasama unapofikia hatua hii. ni vizuri vile vile serikali ikatuambia bayana kwamba majibu ya mabingwa wa india yanasemaje, alikuwa anaumwa nini, na ugonjwa huo amaupataje????
Sorry typing error nilimaanisha Polonium
Hivi hili tatizo halina uhusiano na magonjwa ya kisasa ???? Maana hata Amina chifupa aliugua tatizo kama hilo ijapo lilikuwa siri sana!!!