Zito yuko kupiga domo kaya mitandaoni na takwimu za kuokoteza chama kinapukutikaACT kinamdodea Zitto...mbona wote wanasepa
Magufuli atatengua.
Upinzani mpaka wakae sawa. Hakuna upinzani hali ilivyo sasa. Wanahaha na matukio ya kutengenezwa badala ya kuendesha siasa zenye agenda zaoHatimaye rangi halisi ya wasaliti imewekwa wazi .
Speed ni tatizo kubwa lolhongera zake aisee
Jidanganye na mungu wako!! Ccm hawajui huyo mungu,kama unataka cheo pale basi mtumikie Dinosaur kwa nguvu zote na kwa akili zote! Majambazi kibao yameula huku kwetu kwa kuutumia ujambazi wao kuitumikia ccm!! Uki--- mpinzani cheo kinakufuata chenyeweDuh! Jamaa anazidi kuula tu. Nimeamini ukimtanguliza Mungu na kuwa na bidii mambo yanakunyookea mpaka we ukaanza kujishangaa tu.