Mwakyembe amteua Albert Msando kuwa Mjumbe wa kamati ya kupitia sheria ya hakimiliki

Hiyo barua yenyewe ya uteuzi msando hujaona kuwa ni mwezi wa tisa. Otherwise labda ilikuwa ya september wameamua kuitoa leo
 
Ninamkumbuka comments zake kuhusu suala la Lema magereza. Kumbe ndio malipo sasa.
 
Hongera kwake
Haya Chadema vipeeee hakuna w kubutwa kutoka huko?
Mnimesahau mlisomea chuo chenu na ulafi, kupenda pesa za kuhongwa na hata wazungu, uongo, udaku n.k

Ha ha haaaaa
Kama nawaona mnazidi kusaga meno leo
Eeeeeeh
Umeteuliwa wilaya gani?
 
Back
Top Bottom