mapato ya kivuko hicho kwa mwezi ni Sh 221,173,230
matumizi ni wastani wa Sh. 223,314,481
mkuu hilo daraja huwezi amini, linapigwa vita hadi na watendaji wengine wa wizara... very sad tunaangalia sana matumboDah wabongo kwa dili siwawezi ndo maana wanafumuka kweli kweli miili yao.
Wakijenga daraja pale familia nyingi zitateteleka kwa mpango huu.
Naibu Waziri wa Ujenzi, Dk. Harrison Mwakyembe
Naibu Waziri wa Ujenzi, Dk. Harrison Mwakyembe, amegeuka mbogo baada ya kufanya ziara ya kushtukiza eneo la Kivukoni jijini Dar es Salaam na kuelezwa asilimia kubwa ya mapato yanayopatikana yanatumika kuendesha kivuko hicho.
Dk. Mwakyembe aligeuka mbogo baada ya Mkuu wa Kivuko cha Kigamboni, Mhandisi John Gama, kueleza kwamba mapato ya kivuko hicho kwa mwezi ni Sh 221,173,230 wakati matumizi ni wastani wa Sh. 223,314,481 kwa kipindi hicho.
Gama alieleza pia kwamba gharama kubwa ni ununuzi wa mafuta ambayo ni Sh. Milioni 102 kwa mwezi.
Taarifa hiyo ilimfanya Naibu Waziri huyo kuonyesha kutoridhishwa na hali ya mapato na matumizi na kueleza kwamba idadi ya watu na magari ambayo yanatumia vivuko kila siku hailingani
Huu ni uwizi mtupu.
Atupe data kamili.Kama hesabu ya Ferry itafanyiwa ukaguzi lazima itagundulika uwizi mkubwa una fanyika kwenye matumizi ya Mafuta ,matengenezo hewa na pengine wafanyakazi hewa.
Mahesabu ya harakax2
102,000,000/30=3,400,000 matumizi ya mafuta kwa siku.
3,400,000/1700ts=2000lita ya mafuta.
Niambie Boti zinazotumika zina injini nne kila moja.
Wastani kila engine inaweza tumia lita 10/per hour makadirio x8=80lita kwa saa.On movement !!!, i gues the same!
Masaa mangapi ferry hufanya kazi.
Wastani yaweza kuwa masaa 18.
18hrsx80lita=1440lita
2000-1440=560lita uwizi mtupu
Tatizo viongozi wetu wako tayari kupokea tu taarifa hata kama haielezei kilichopo na hii nitatizo kubwa kila mahali kwenye wizara nyingi.
Mkuu, the fact ni kwamba hiyo pesa inapanda ngazi, kuanzia wakata kiteki hadi wakubwa... naskia kuna very powerful networkDah wabongo kwa dili siwawezi ndo maana wanafumuka kweli kweli miili yao.
Wakijenga daraja pale familia nyingi zitateteleka kwa mpango huu.
thansk mkuu kwa uchanganuo... ukweli ni kwamba wanahitaji zaidi ya presentation kufanya maamuzi, naona amekomalia injini moja/mbili kuwashwa lakini issue pale ni zaidi ya hiyo..waangalie pia ni watu wangapi wanavuka kila sikuHuu ni uwizi mtupu.
Atupe data kamili.Kama hesabu ya Ferry itafanyiwa ukaguzi lazima itagundulika uwizi mkubwa una fanyika kwenye matumizi ya Mafuta ,matengenezo hewa na pengine wafanyakazi hewa.
Mahesabu ya harakax2
102,000,000/30=3,400,000 matumizi ya mafuta kwa siku.
3,400,000/1700ts=2000lita ya mafuta.
Niambie Boti zinazotumika zina injini nne kila moja.
Wastani kila engine inaweza tumia lita 10/per hour makadirio x8=80lita kwa saa.On movement !!!, i gues the same!
Masaa mangapi ferry hufanya kazi.
Wastani yaweza kuwa masaa 18.
18hrsx80lita=1440lita
2000-1440=560lita uwizi mtupu
Tatizo viongozi wetu wako tayari kupokea tu taarifa hata kama haielezei kilichopo na hii nitatizo kubwa kila mahali kwenye wizara nyingi.
very true... kweli wewe ni mdau wa kigamboni... umeweka vyema sana hali halisi... apart from administration and finance, tatizo kubwa ni logistics managementKivuko kile serikali imekuwa inakifanyia mzaha sana miaka yote wakati ni muhimu sana kwa wananchi na kipato cha serikali na ajira.
Kwanza hakina tena uwezo wa kuhudumia ipasavyo. Kimezidiwa na watu na magari. Nafasi ya watembea kwa miguu haitoshi kabisa na inaonyesha inaweeza tokea ajali mbya pale magogoni, Mungu aepushilie mbali. Lakini serikali inatakiwa ichukue hatua za haraka kukiboresha. Kwa mtazamo wangu ingetakiwa kwa sasa kuwe na vivuko vinne, mbili zinashusha upande mmoja na mbili upande wa pili.
Ukusanyaji mapato ni mbovu sana sana. Zinatakiwa computerized tickets. Kuna wakati ticket zinabadilika badilika rangi tu pale, sasa hatujui kama kuna walichapisha zao au vipi.
Kwa hesabu za haraka haraka ni lazima waweze kuingiza zaidi ya Tshs. 250 mln. kwa mwezi. Tatizo kubwa ni lazima litakuwa kwenye mafuta na vipuri na huenda wafanyakazi hewa. Zaidi ya hapo mipango au taratibu ni mbovu kabisa. Kivuko kinapoteza muda mwingi sana ku- "off-load na ku- load". Kwa sababu magari yanatanguliwa na abiria wa miguu kutoka, na hawaelekezwi vizuri kupita upande wa abiria wa miguu na matokeo yake badala ya kivuko kupakua kwa dakika kama nne ~tano tu huchukua hadi dakika 15 na kupakia dakika 20 matokeo yake hata trip tatu kwa saa hazifikii. Na wakkati huo engine zinafyonza mafuta na kuongeza joto la dunia plus pollution.
Hadi hapo Tanzania itakapoacha kuchagua viongozi vihiyo kwa sababu zao za kisiasa kwenye hizi fani muhimu pamoja na wanasiasa wasio na vision wananchi tutapata shida sana.
Wakati mwingine serikali yetu huonekana kama inafanya haya mambo kwa makusudi kabisa. Kungoja mpaka mambo yawe mabaya kabisa ili waanze kuwatafuta wale wale wafanya biashara wao mashuhuri na kuwataka wafanye mambo kwa haraka haraka ili kuepuka sheria zote za mannunuzi "procurement procedures" ili Bwana Patel aendelee kuchangia chama. Na ni hao hao wanaofanya mizengwe ili daraja lisijengwe.
Aibu gani hii baada ya miaka 50 ya uhuru?
,
Naibu Waziri wa Ujenzi, Dk. Harrison Mwakyembe
Naibu Waziri wa Ujenzi, Dk. Harrison Mwakyembe, amegeuka mbogo baada ya kufanya ziara ya kushtukiza eneo la Kivukoni jijini Dar es Salaam na kuelezwa asilimia kubwa ya mapato yanayopatikana yanatumika kuendesha kivuko hicho.
Dk. Mwakyembe aligeuka mbogo baada ya Mkuu wa Kivuko cha Kigamboni, Mhandisi John Gama, kueleza kwamba mapato ya kivuko hicho kwa mwezi ni Sh 221,173,230 wakati matumizi ni wastani wa Sh. 223,314,481 kwa kipindi hicho.
Gama alieleza pia kwamba gharama kubwa ni ununuzi wa mafuta ambayo ni Sh. Milioni 102 kwa mwezi.
Taarifa hiyo ilimfanya Naibu Waziri huyo kuonyesha kutoridhishwa na hali ya mapato na matumizi na kueleza kwamba idadi ya watu na magari ambayo yanatumia vivuko kila siku hailingani
Huu ni uwizi mtupu.
Atupe data kamili.Kama hesabu ya Ferry itafanyiwa ukaguzi lazima itagundulika uwizi mkubwa una fanyika kwenye matumizi ya Mafuta ,matengenezo hewa na pengine wafanyakazi hewa.
Mahesabu ya harakax2
102,000,000/30=3,400,000 matumizi ya mafuta kwa siku.
3,400,000/1700ts=2000lita ya mafuta.
Niambie Boti zinazotumika zina injini nne kila moja.
Wastani kila engine inaweza tumia lita 10/per hour makadirio x8=80lita kwa saa.On movement !!!, i gues the same!
Masaa mangapi ferry hufanya kazi.
Wastani yaweza kuwa masaa 18.
18hrsx80lita=1440lita
2000-1440=560lita uwizi mtupu BADO TIKETI HEWA
bado tiketi
Tatizo viongozi wetu wako tayari kupokea tu taarifa hata kama haielezei kilichopo na hii nitatizo kubwa kila mahali kwenye wizara nyingi.