Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,393
- 14,500
Lembrus Mchome, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Wilaya ya Mwanga, ametambulishwa kama Mwakilishi wa CHADEMA, kwenye Mkutano Mkuu wa CHAUMMA
CHAUMMA kama Ze Comedy !Lembrus Mchome, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Wilaya ya Mwanga, ametambulishwa kama Mwakilishi wa CHADEMA, kwenye Mkutano Mkuu wa CHAUMMA
Mbowe ataendelea KUPIMA UPEPO hadi lini? Ajitokeze sasa na kupeperusha bendera ya ugombea U-rais kwenye chama chake, aache kujificha ficha.Lembrus Mchome, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Wilaya ya Mwanga, ametambulishwa kama Mwakilishi wa CHADEMA, kwenye Mkutano Mkuu wa CHAUMMA
Mpunga unalevya mkuu 😃Chaumma wana matatizo ya akili walahi
I guessMpunga unalevya mkuu 😃
Ngoja tuuone ujasiri wa msajili.CHADEMA imezuiliwa kufanya siasa. Kama wapo serious na Hilo katazo akamatwe.
Na mchome ana kalio tamu kweli kweli msajili amelenga.msajili anajipakulia taratibu kijana wa watu
Mlevi yoyote wa visungura ana ujasiri sana.Kusema onto hadharani ni ujasiri, John Mrema ni Mataram wa uongo.