Mwakilishi BBA Nando amekuwa Disgualified!

Mwakilishi BBA Nando amekuwa Disgualified!

mzee wandimu

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2011
Posts
470
Reaction score
232
Yule mwakilishi wa Tz Nando ametolewa kwa kosa la kutaka kumchoma kisu mshiriki toka Ghana! hii ilitokea juzi baada yakutofautiana! Dogo alisema mtu kama huyu hasitahili kuishi! na kuamua kuenda kulala na mkasi! mpaka alipotakiwa kuotoa huo mkasi na biggie!
 
sisi tunaokaa huku kwa mtogole na hiyo BBA yenu ni chenga tupu, huku tuambie mambo ya msaga sumu, vigodoro.
 
Anamatatizo ya akili huyo wamrudishe nyumbani tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom