Mwakalebela afunika vibaya Iringa (mafuriko)

Mwakalebela afunika vibaya Iringa (mafuriko)

Itakuwa alikosa wasanii wa kumpiga tafu...
 
Mafuriko yake yalivyokaa utadhani kikao cha ukoo.
 
Hakukua na haha ya kutumia mic kwa huo umati
 
katika hali isiyotarajiwa mgombea ubunge wa ccm jimbo la iringa amepata mafuriko ya watu katika mikutano yake ya kampeni kama picha zinavyojieleza na kutokana na misongamano ya watu wengine walijikuta wanazimia hovyo
hiyo ni dalili ya kifo kibay cha ccm.
 
Nasema, mpiga picha lazima ana kinyongo na Mwakalebela. Naona huyu jamaa ni Simba dam dam. Kwanza, picha yenyewe kaipigia nyuma ya Mwakalebela. Watu wapo mbele ya jukwaa kule uwanjani.
Pili, kulikuwa na mizengwe alinyimwa uanja wa Makongoroni ati ni mali ya UKAWA. Uanja wa SAMORA ulikuwa unakarabatiwa. Jukwaa lake lilikuwa kubwa mno akashindwa kulifunga kwani fundi kahongwa na UKAWA.
Hakika, jimbo tutalikomboa kutoka Chadema.
Mbavu siiiina. Duh! Chama kongwe kipo taaban, ndembe ndembe, mlalo wa chaliii, miguu juu ka mende. Hata kukitaja sasa wanakiogopa ka ukoma
 
Katika hali isiyotarajiwa mgombea ubunge wa CCM jimbo la Iringa amepata mafuriko ya watu katika mikutano yake ya kampeni kama picha zinavyojieleza na kutokana na misongamano ya watu wengine walijikuta wanazimia hovyo

Hahahaa,hata anaowahutubia ni kama wamekata tamaa hivi
 
Alijaza watu MSIGWA.... HUYO HAWEZI....
Mafuriko yalikuwa jana, huyo anaigiza na haitatokea.

Na kwa taarifa yako wamexhukuliwa wana CCM kutoka majimbo matatu hapo
1. Kalenga
2. Isimani na
3. Manispaa

pole yako..

na umwambie Mwakalebela aache ujinga wake wa kubandua mabango yetu
 
Ushabiki wenu hauna maana, yaani hata mikutano anayofanya kwenye mitaa au vijiji mnataka muone watu wamejaa kama Iringa mjini?
 
Mwakalebela aache ubahili wa kijinga kilikuwa ni kitendo cha kukodi malori 5 tu uwanja utapike
 
Back
Top Bottom