Duh kweli mafuriko hahahaha
Amefunika haswa, wakati wa kumfuta msigwa umefika. Na afadhali wale wa malori hajawaleta ingekuwa baalaaa
Duh kweli mafuriko hahahaha
unajua wakati mwingine ukiwa na kitambi kikubwa kikubwa halafu unahutubia watu wawili inakuwa noma sana .Hongera zake kwa hiyo nyomi!
Ccm bila malori.........
Ni kweli...!
![]()
Kweli tupu...!
Ni kweli...!
![]()
Kweli tupu...!
Katika hali isiyotarajiwa mgombea ubunge wa ccm jimbo la Iringa amepata mafuriko ya watu katika mikutano yake ya kampeni kama picha zinavyojieleza na kutokana na misongamano ya watu wengine walijikuta wanazimia hovyo
Ccm bila malori.........