Yohane leonard
Member
- Oct 22, 2016
- 47
- 29
Mmetoa majina ya continuing students lakini first year hatuoni majina ya kusaini. Hela ya kujikimu boom hatuna na tulipata mkopo. Sasa hatuelewi, tunakufa njaaa huku!
Hata mapadri wenyew na wema wao hawabehave kama wanafunzi wa SUAMmetoa majina ya continuing students lakini first year hatuoni majina ya kusaini. Hela ya kujikimu boom hatuna na tulipata mkopo. Sasa hatuelewi, tunakufa njaaa huku!