Mwaka wa kwanza wa SUA tunateseka!

Oct 22, 2016
47
29
Mmetoa majina ya continuing students lakini first year hatuoni majina ya kusaini. Hela ya kujikimu boom hatuna na tulipata mkopo. Sasa hatuelewi, tunakufa njaaa huku!
 
Mkuu mie nimekuelewa, najua njaa na kupaniki ndiyo tatizo lako. Lakini mbona hata sisi continuing wengine majina bado.!
 
Hoja yake imeeleweka! Yaani wanafunzi wa mwaka wa kwanza pale SUA waliopangiwa mikopo mpaka sasa wengine hawajapewa boom japo umeshapita takriban mwezi mmoja na nusu tangu chuo kifunguli
 
Back
Top Bottom