ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 44,214
- 50,942
Akihutubia Taifa Kwa hotuba ya funga mwaka 2023, Rais Samia alisema mwaka 2024 utakuwa ni mwaka wa matokeo na hakika matokeo yameanza kuonekana.
Mwaka huu 2024/2025 unaenda kuwa mwaka wa Uzinduzi wa miradi karibu yote ambayo iliasisiiwa na Serikali ya awamu ya 5 ya Mwendazake JP Magufuli Bull dozer Tingatinga.
My Take
Hongera Mama Kwa kuweza.
Mwaka huu 2024/2025 unaenda kuwa mwaka wa Uzinduzi wa miradi karibu yote ambayo iliasisiiwa na Serikali ya awamu ya 5 ya Mwendazake JP Magufuli Bull dozer Tingatinga.
- Miradi hiyo ni Sgr ya Dar-Mwanza, tayari Dar-Dom by June train Inaanza
- Bwawa la Nyerere, tayari mtambo wa 1 umewashwa
- Daraja la JP Magufuli Mwanza
- Meli kubwa ya MV Mwanza
My Take
Hongera Mama Kwa kuweza.