katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,126
- 5,761
- Thread starter
- #21
Humu kunawatu wanamawazo mazuri yakujenga
@joanah mechi ipi unaizungumzia vpl, epl, la liga, fa, uefa au????Dah!
Mi sijui itakuaje mana siku hiyo hata mechi za maana hakuna...hadi sa ivi sijajua ila picha inayonijia ni ya kua bored tu
Zote izo hazipo@joanah mechi ipi unaizungumzia vpl, epl, la liga, fa, uefa au????
Sent from my GT-P5200 using Tapatalk
Joanah we si mchaga lakini?Zote izo hazipo
😂😂😂😂 nimecheka asee!Joanah we si mchaga lakini?
Kuna uzi wenu umefunguliwa naomba uwa cc wanawake wote wa kichaga mje kujitetea
Sent from my GT-P5200 using Tapatalk
Mi nasubiria kuona mapovu yatakayo toka leo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka asee!
Mimi sio mchaga