Mimi mwaka mpya umenikuta niko church nikimuabudu Mungu. Je, wewe mwaka mpya umekukutia wapi?
dah...maswali kama haya yanatutia soni ujue.....
Mutoto ya Sky ku Lounge.....mwaka mpya ukukute wapi tena! dear Heri ya Mwaka Mpya
dah...maswali kama haya yanatutia soni ujue.....
Ndio mana umelala hadi saa 6?Ilibidi watulize kwanza mdundo, then ukaanza upya kwa kasi ya mwaka 2013 tukashindwa kusikilizana!