Mwaka Mmoja wa Rais Magufuli Madarakani umetosha kumzika Lowassa kisiasa

Lowassa angefanya mambo makubwa ya ufisadi na wizi ambao haujawahi kufanyika dunia hii
 
Sasa nimeamini hawa watu wako tofauti sana. Tena hawalingani hata kwa chembe. Watanzania hatukufanya Makosa kumchagua Rais Magufuli na kumkataa Lowasa. Katika huu mwaka mmoja wa utawala wa Rais Magufuli, hakika nimeona dhamira njema aliyonayo kwa Watanzania. Nimeona pia mantiki ya kauli mbiu ya Hapa Kazi Tu.

Katika Mwaka mmoja wa Rais Magufuli, mikakati imeshawekwa kwa ajili ya kujenga upya Reli ya Kati na Bomba la Mafuta kutoka Uganda. Miradi hii ikikamilika hakika Tanzania tutakuwa tunapata fedha nyingi za kigeni na hivyo kuweza kugharamia mahitaji mengi ya ndani.

Rais Magufuli pia kawaalika majirani zetu wa Rwanda, Zambia, Uganda, DRC na kaalikwa Kenya kwa lengo la kuhakikisha Wanafanya biashara na Tanzania na hivyo kutengeneza fedha lukuki.

Rais wetu pia kafanya mambo makubwa katika kubana matumizi yasiyo ya lazima. Nadiriki kusema kuwa Mwaka Mmoja wa Rais Magufuli umetosha kumzika Lowasa kisiasa na sijui hata akigombea tena 2020 atakuja na sera zipi.

Una haki ya kutoa maoni na watu wakakusikiliza! Ila kumbuka wakati unatoa hayo maoni usijaribu kutufanya na sisi tuwe na tafsiri kama yako! Na mimi naomba nikupe maoni yangu, CCM ipo madarakan kwa sababu ya jeshi la polisi na sio kuwa wananchi ndo wameipa mamlaka! Unaweza kukataa, ila hili linadhihirishwa na jinsi walivyoungana na ccm kukandamiza upinzani! Iko hivi, upinzani hautakufa kwa sababu ya kukandamizwa, ila utakufa tu pale watu watakapoona kuwa CCM imebadilika na kuwa na huruma kwa watanzania. Watanzania kwa sasa wanaishi kama wafungwa magerezani, hofu na woga tuuu ndo ngao yao kuu. Huuu ukimya unaouona sio kwamba watu wana raha sana wewe.....
 
Kama ni kweli jaribuni kuitisha uchaguzi mkuu kesho muone kitacho wapata, yaani hamta amini kitakacho watokea!
 
Sasa nimeamini hawa watu wako tofauti sana. Tena hawalingani hata kwa chembe. Watanzania hatukufanya Makosa kumchagua Rais Magufuli na kumkataa Lowasa. Katika huu mwaka mmoja wa utawala wa Rais Magufuli, hakika nimeona dhamira njema aliyonayo kwa Watanzania. Nimeona pia mantiki ya kauli mbiu ya Hapa Kazi Tu.

Katika Mwaka mmoja wa Rais Magufuli, mikakati imeshawekwa kwa ajili ya kujenga upya Reli ya Kati na Bomba la Mafuta kutoka Uganda. Miradi hii ikikamilika hakika Tanzania tutakuwa tunapata fedha nyingi za kigeni na hivyo kuweza kugharamia mahitaji mengi ya ndani.

Rais Magufuli pia kawaalika majirani zetu wa Rwanda, Zambia, Uganda, DRC na kaalikwa Kenya kwa lengo la kuhakikisha Wanafanya biashara na Tanzania na hivyo kutengeneza fedha lukuki.

Rais wetu pia kafanya mambo makubwa katika kubana matumizi yasiyo ya lazima. Nadiriki kusema kuwa Mwaka Mmoja wa Rais Magufuli umetosha kumzika Lowasa kisiasa na sijui hata akigombea tena 2020 atakuja na sera zipi.
Unazungumzia mwaka mmoja? Lowassa huyu huyu alikaa nje ya uwaziri mkuu na kuwa bila hata kuwa serikalini ndani ya miaka 8 na ulipoitishwa uchaguzi mkuu aliwatisha hadi ukamtengenezea zengwe la kui... Ushindi wake. Achana na Lowassa hakamatiki nguvu aliyonayo ni kubwa mno.Leo hii hafanyi mikutano lakn bado kila siku jina lake huwezi linganisha na jina la Mwana fisiemu yoyote yule..wewe endelea kuota ila ukiwa macho muambie mkuu wako aruhusu mikatono uone kitakachotokea! Unapigana na MTU na huku umemfunga mikono lakn bado anakupiga tu! Yaani Lowassa ni kama Samsoni yule aliyemuuwa simba na kuliangusha hekelu la wafilisti na kuwauwa wote
 
Sasa nimeamini hawa watu wako tofauti sana. Tena hawalingani hata kwa chembe. Watanzania hatukufanya Makosa kumchagua Rais Magufuli na kumkataa Lowasa. Katika huu mwaka mmoja wa utawala wa Rais Magufuli, hakika nimeona dhamira njema aliyonayo kwa Watanzania. Nimeona pia mantiki ya kauli mbiu ya Hapa Kazi Tu.

Katika Mwaka mmoja wa Rais Magufuli, mikakati imeshawekwa kwa ajili ya kujenga upya Reli ya Kati na Bomba la Mafuta kutoka Uganda. Miradi hii ikikamilika hakika Tanzania tutakuwa tunapata fedha nyingi za kigeni na hivyo kuweza kugharamia mahitaji mengi ya ndani.

Rais Magufuli pia kawaalika majirani zetu wa Rwanda, Zambia, Uganda, DRC na kaalikwa Kenya kwa lengo la kuhakikisha Wanafanya biashara na Tanzania na hivyo kutengeneza fedha lukuki.

Rais wetu pia kafanya mambo makubwa katika kubana matumizi yasiyo ya lazima. Nadiriki kusema kuwa Mwaka Mmoja wa Rais Magufuli umetosha kumzika Lowasa kisiasa na sijui hata akigombea tena 2020 atakuja na sera zipi.
Mbona husemi yote ukitaja mazuri sema na mabaya usiwe mnafki sema tu kawanyima wanafunzi mikopo,kawanyima watumishi nyiongeza ya mishahara,kawanyima watumishi madaraja ambayo yapo kisheria,kodi sasa paka kwenye mkaa,wahanga kutelekezwa japo wananchi wametoa michango yao,tuuhuma za rushwa milioni kumi kila m'bunge wa ccm,kupiga marufuku mikutano ya hathara ambayo yapo kisheria,fetha kutumika ambazo hazijaithinishwa na bunge,elimu kuvurugwa haieleweki kipi ni kipi kila siku matamko n.k
 
Sasa nimeamini hawa watu wako tofauti sana. Tena hawalingani hata kwa chembe. Watanzania hatukufanya Makosa kumchagua Rais Magufuli na kumkataa Lowasa. Katika huu mwaka mmoja wa utawala wa Rais Magufuli, hakika nimeona dhamira njema aliyonayo kwa Watanzania. Nimeona pia mantiki ya kauli mbiu ya Hapa Kazi Tu.

Katika Mwaka mmoja wa Rais Magufuli, mikakati imeshawekwa kwa ajili ya kujenga upya Reli ya Kati na Bomba la Mafuta kutoka Uganda. Miradi hii ikikamilika hakika Tanzania tutakuwa tunapata fedha nyingi za kigeni na hivyo kuweza kugharamia mahitaji mengi ya ndani.

Rais Magufuli pia kawaalika majirani zetu wa Rwanda, Zambia, Uganda, DRC na kaalikwa Kenya kwa lengo la kuhakikisha Wanafanya biashara na Tanzania na hivyo kutengeneza fedha lukuki.

Rais wetu pia kafanya mambo makubwa katika kubana matumizi yasiyo ya lazima. Nadiriki kusema kuwa Mwaka Mmoja wa Rais Magufuli umetosha kumzika Lowasa kisiasa na sijui hata akigombea tena 2020 atakuja na sera zipi.
Mzee jipe moyo tu lakini kwa taarifa yako CCM imekufa inaponea kwa nguvu za Police na Jeshi tu sio kwa kura na ushahidi ni hivi wanavyofanya kuzuwia wapinzani wasifanye hata mikutano ya ndani zanzibar walipoanza kushidwa walifanya hivyo hivyo CCM ilipokuwa na nguvu bara walikuwa hata hawawajali wapinzani lakini sasa wameanza kuonja joto la jiwe
 
Sasa nimeamini hawa watu wako tofauti sana. Tena hawalingani hata kwa chembe. Watanzania hatukufanya Makosa kumchagua Rais Magufuli na kumkataa Lowasa. Katika huu mwaka mmoja wa utawala wa Rais Magufuli, hakika nimeona dhamira njema aliyonayo kwa Watanzania. Nimeona pia mantiki ya kauli mbiu ya Hapa Kazi Tu.

Katika Mwaka mmoja wa Rais Magufuli, mikakati imeshawekwa kwa ajili ya kujenga upya Reli ya Kati na Bomba la Mafuta kutoka Uganda. Miradi hii ikikamilika hakika Tanzania tutakuwa tunapata fedha nyingi za kigeni na hivyo kuweza kugharamia mahitaji mengi ya ndani.

Rais Magufuli pia kawaalika majirani zetu wa Rwanda, Zambia, Uganda, DRC na kaalikwa Kenya kwa lengo la kuhakikisha Wanafanya biashara na Tanzania na hivyo kutengeneza fedha lukuki.

Rais wetu pia kafanya mambo makubwa katika kubana matumizi yasiyo ya lazima. Nadiriki kusema kuwa Mwaka Mmoja wa Rais Magufuli umetosha kumzika Lowasa kisiasa na sijui hata akigombea tena 2020 atakuja na sera zipi.
CCM vs UKAWA.jpg

Sina Usingizi !!!!!! - LOWASA.jpg

Akili inagoma.jpg
 
Uongozi unaoacha alama.
 
Mbona hujasema Rais wetu kaongoza kwa kukurupuka? Pia suala la kuwaalika marais wa nchi nyingine litamzikaje lowasa? Badala ya kujenga viwanda mnaua viwanda? Tanzania ya viwanda hiyooo
 
Back
Top Bottom