Vingapi vimeanza kujengwa ambavyo ujenzi wake utakamilika katika miaka mitano?viwanda haviwezi kujengwa kwa mwaka mmoja... ni process ya miaka mingi sana. nilikuwaga nakuheshimu sasa utanifanya nianze kukudharau. kama na wewe unafikiria kama nyumbu.
Hapo labda Mungu atupe gunia la chawa sasa hivi hali ya uchumi imekuwa nzuri kuliko awamu zote kwenye historia ya nchi yetu, sasa hivi uchumi wetu na miundo mbinu imeizidi USA.Uko sawa kabisa,yaani sukari tuliokuwa tunanunua sh 1500 mpaka 1800 kwa kilo,sasa imeshuka mpaka 2400 kwa kilo baada ya serikali kushughulikia tatizo hilo kikamilifu na kukamata sukari iliyokuwa imefichwa,Mungu atupe nini tena?mifumo ya elimu inaboreshwa sana kiasi cha kumsaidia kila mwenye nia ya kujiendeleza kielimu apate nafasi ya kufanya hivyo ili kuongeza idadi ya watu walioelimika.
Unamletea majungu mtukufu wewe ni wa kutumbuliwa na usaha unanyweshaUko sawa kabisa,yaani sukari tuliokuwa tunanunua sh 1500 mpaka 1800 kwa kilo,sasa imeshuka mpaka 2400 kwa kilo baada ya serikali kushughulikia tatizo hilo kikamilifu na kukamata sukari iliyokuwa imefichwa,Mungu atupe nini tena?mifumo ya elimu inaboreshwa sana kiasi cha kumsaidia kila mwenye nia ya kujiendeleza kielimu apate nafasi ya kufanya hivyo ili kuongeza idadi ya watu walioelimika.
Wanandugu,
Kama mnavyofahamu rais wetu John Pombe ametimiza takribani mwaka toka atangazwe na tume ya uchaguzi kuwa rais wa Tanzania.
Tahthmini inaonyesha kuwa kwa kipindi hiki kifupi toka aingie madarakani maisha ya mtanzania yamekuwa mazuri zaidi kuliko awamu zote zilizopita.
Hii ni tathmini yangu katika kipindi cha mwaka mmoja wa Magufuli.
- Huduma za afya zinapatikana katika kiwango cha kuridhisha. Madawa na ruzuku za afya zinafika kwa wakati.
- Kipata cha mtanzania wa hali ya chini kimeongezeka kutoka chini ya dola moja hadi dola 2.5 kwa siku.
- Huduma za umeme na maji zimekuwa za uhakika zaidi.
- Masoko ya bidhaa za kilimo yamezidi kuongezeka. Ukuaji wa masoko yameongeza kipato cha mkulima.
- Mshahara na marupurupu ya mtumishi wa umma yameboreshwa kuliko kipindi cha awamu ya nne. Waalimu wamewekeza mazingira bora ya kufanyia kazi.
- Utoaji wa mikopo elimu ya juu umeboreshwa zaidi, kwani watoto wa masikini bila kujali masomo waliyodahiliwa wamezingatiwa na kupewa kipaumbele katika mikopo. Pia idadi ya wanufaika imeongezeka. Rais ametimiza ahadi aliyotoa akiwa Tabora.
- Elimu bure imetolewa na wazazi tumepunguziwa mzigo.
- Kupambana na majanga. Serikali imeonyesha uimara katika kupambana na majanga.Mfano huko Kagera michango imewafikia kwa wakati. wahanga na serikali kubaki na jukumu la kujenga miundombinu kwa fedha zake.
- Punguzo la kodi katika bidhaa muhimu zinazotumika zaidi na watanzania wa hali ya chini.
- Umoja wa Kitaifa. Rais amefanikiwa kuunganisha watanzania bila kujali vyama vyao au kanda zao. Rais amekemea ukanda na uvyama na kuzika tofauti zilizojitokeza wakati wa uchaguzi.
- Demokrasia. Vyama vya siasa vimepewa uhuru wa kufanya siasa kwa mujibu wa katiba. Bunge limekuwa wazi na huru zaidi kuliko bunge lililopita.
WoyeeeeeeeeeUko SAHIHI kabisa. MAGUFULI OYEEEEE
na muda si mrefu tutaanza kuwauzia mitumba yetu!Hapo labda Mungu atupe gunia la chawa sasa hivi hali ya uchumi imekuwa nzuri kuliko awamu zote kwenye historia ya nchi yetu, sasa hivi uchumi wetu na miundo mbinu imeizidi USA.
Nakuwapa misaada mbali mbali.na muda si mrefu tutaanza kuwauzia mitumba yetu!
Wanandugu,
Kama mnavyofahamu rais wetu John Pombe ametimiza takribani mwaka toka atangazwe na tume ya uchaguzi kuwa rais wa Tanzania.
Tahthmini inaonyesha kuwa kwa kipindi hiki kifupi toka aingie madarakani maisha ya mtanzania yamekuwa mazuri zaidi kuliko awamu zote zilizopita.
Hii ni tathmini yangu katika kipindi cha mwaka mmoja wa Magufuli.
- Huduma za afya zinapatikana katika kiwango cha kuridhisha. Madawa na ruzuku za afya zinafika kwa wakati.
- Kipata cha mtanzania wa hali ya chini kimeongezeka kutoka chini ya dola moja hadi dola 2.5 kwa siku.
- Huduma za umeme na maji zimekuwa za uhakika zaidi.
- Masoko ya bidhaa za kilimo yamezidi kuongezeka. Ukuaji wa masoko yameongeza kipato cha mkulima.
- Mshahara na marupurupu ya mtumishi wa umma yameboreshwa kuliko kipindi cha awamu ya nne. Waalimu wamewekeza mazingira bora ya kufanyia kazi.
- Utoaji wa mikopo elimu ya juu umeboreshwa zaidi, kwani watoto wa masikini bila kujali masomo waliyodahiliwa wamezingatiwa na kupewa kipaumbele katika mikopo. Pia idadi ya wanufaika imeongezeka. Rais ametimiza ahadi aliyotoa akiwa Tabora.
- Elimu bure imetolewa na wazazi tumepunguziwa mzigo.
- Kupambana na majanga. Serikali imeonyesha uimara katika kupambana na majanga.Mfano huko Kagera michango imewafikia kwa wakati. wahanga na serikali kubaki na jukumu la kujenga miundombinu kwa fedha zake.
- Punguzo la kodi katika bidhaa muhimu zinazotumika zaidi na watanzania wa hali ya chini.
- Umoja wa Kitaifa. Rais amefanikiwa kuunganisha watanzania bila kujali vyama vyao au kanda zao. Rais amekemea ukanda na uvyama na kuzika tofauti zilizojitokeza wakati wa uchaguzi.
- Demokrasia. Vyama vya siasa vimepewa uhuru wa kufanya siasa kwa mujibu wa katiba. Bunge limekuwa wazi na huru zaidi kuliko bunge lililopita.
Kwani wakimuita "baba ubaya" ndio wamemzuia kufanya kazi?Wasiomtakia mema wanamuita Baba Ubaya.Acheni rais afanye kazi
au siyo muzee. Mungu anakuonaSawa kabisa, kwenye mikopo ya elimu ya juu amejitahidi sana, hakuna kabisa waliokosa. Big up...
Huyo waziri nae hata kudanganya hajui, bure kabisa.Tanzania ina viwanda 52,000. By Mwijge waziri wa viwanda.
Mungu anakuona jamani!!Big mh Rais.huku Mtaani tunaishi vizuriiiii utawale milele Baba Jei
Kweli kabisa. Hasa manyumbu ya JFDuh! Anko John anakazi sana, wabongo tunapenda pepo bila kufa kwanza
mitiani wanaandika kwa chaki ubaoni kutokana na kukosa pesa ya kuchapisha test kwenye baadhi ya shule. HATARI SANAJPM oyeee! CCM oyeee!
Sasa hivi ari ya kazi miongoni mwa watumishi wa umma ipo juu hatari..Haijapata kutokea. Hakuna manungúniko yoyote maofisini.
Hapa kazi tu...kazi gani?