Mwaka mmoja umetueleza mengi

Mtukufu yule wa kampeni, na yule wa miezi ya mwanzo magogoni, sio huyo wa sasa! Nahisi kuna kitu kafanyiwa au kaoneshwa kikamtisha!
 
Yes,

Hawa mambo yao ya ki CHADEMA walikuwa wanatakiwa wakafanyie Ufipa.

http://...xc5V8RqDfpSpVlnWdjCqNy0g/zhObwMJgxpNKlSobCP/Z http://...xc5V8RqDfpSpVlnWdjCqNy0g/zhObwMJgxpNKlSobCP/Z

Hicho ni kikao cha kamati ya CHADEMA?
 
Muda ni hakimu mzuri sana, na huongea kuliko chochote.
kweli kabisa.......ni muda ndio umetuambia kwamba ile mikwara ya kubeza sherehe za uhuru mwaka jana ilikuwa mbwembwe tu,mwaka huu zimefanyika,na mwakani za muungano zitafanyika,safari za nje zimeanza,semina kibao
 
Hii thread inafaa iwe dedication kwa Founder wa JF huko aliko na ajue watu bado wako ngangari.
 
Mtukufu yule wa kampeni, na yule wa miezi ya mwanzo magogoni, sio huyo wa sasa! Nahisi kuna kitu kafanyiwa au kaoneshwa kikamtisha!
inawezekana makaburi mengine ameyaona na waliozikwa humo wanamwambia "mzee na wewe umo"
 
kweli kabisa.......ni muda ndio umetuambia kwamba ile mikwara ya kubeza sherehe za uhuru mwaka jana ilikuwa mbwembwe tu,mwaka huu zimefanyika,na mwakani za muungano zitafanyika,safari za nje zimeanza,semina kibao

Ongezea hapo na vikao vya CCM kufanyikia ikulu.

Bure kabisa huyo jamaa.
 
Ila huyu jamaa sijawahi mkubali toka kaanza gombea
 
Nadhani sasa hata ule moyo mods waliokuwa nao kujaribu kuondoa baadhi ya post zilizokuwa against na mkuu sasa umekwisha na wataacha watu wafungeke wanavyotaka.

Yaani sasa kama mbwai na iwe mbwai.
 
chief, ulikuwa upo usingizini tangu 25 October 2015, ama?
 
Nadhani sasa hata ule moyo mods waliokuwa nao kujaribu kuondoa baadhi ya post zilizokuwa against na mkuu sasa umekwisha na wataacha watu wafungeke wanavyotaka.

Yaani sasa kama mbwai na iwe mbwai.
hapo sasa!
 
Kitendo cha kufanyia mikutano ya chama Ikulu hakina budi kupingwa na wale wote wanaoitakia Tanzania mema. Haya ni matumizi mabaya ya hela za walipa kodi ambao wengine sio wanachama wa CCM. Pia kitendo hiki kinaweza kuleta mgogoro wa kimaslahi kwa viongozi wa chama na serikali.
 
Alichofanikiwa kikubwa ni kutuchanganya akili tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…