Mwaka mmoja baada ya Magufuli kufariki: TEMESA wanafeli kufanyia ukarabati vivuko vyao. Hii ni harufu ya ufisadi. TANROADS inafanya nini?

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Oct 2, 2020
4,084
6,569
Leo hii baada mzee baba kuondoka na Mhandisi Mfugale kuondoka kwa utata wa mkubwa ambao ulishangaza dunia nzima. Leo hii Temesa wameanza fyongo. Maana kazi ndogo kama service sio ya kusababisha serikali kukodisha vivuko kwa gharama kubwa.

Hapa kutakuwa na namna.

Watanzania huu ndio wakati wa kutwangwa vitu vizito.
vi👇
 
Kwani serikali ya mwendazake ilikuwa ya chama gani na hii ya mama niyachama gani ,!
 
Angewashirikisha nani kwa mfano?
 
Songoro Marine ni TEMESA ?
 
Mama ndo anasema hivi. So ni mpango wa serikali kuachia sekta binafsi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…