Badala ya kuongeza vifaa vitakavyotumika kwenye uchaguzi na kuhakikisha vinafika kituono kwa wakati wanaongeza magari kwa polisi tena yasiyitumika mara kwa mara kwani hayo ni kwa kazi maalumu wakti kuna mikoa haina zahanati za kutosha, magari wa kubebea wagonjwa na magari ya zimamoto ila kwao hayo si ya kipau mbele kama waliyonunua. kweli kazi ipo.
Barabara zote tunaziwekea misumari, we ngoja tu!
Ukiona mtu mzima na akili zake anaishabikia ccm basi ujue kuna shida mahali
Hebu jaribu uone
Ambulance za nini wakati tumesambaza pikipiki za miguu mitatu kusaidia huduma hiyodaha nikajua ambulance za wajaa wazito kumbe mashine za kutolea uhai raia wema
Ambulance za nini wakati tumesambaza pikipiki za miguu mitatu kusaidia huduma hiyo
. Kuna mengi ya kuhojiana pamoja na uwezo wetu na hasa wataalam wetu kufikiri na kutumia fedha za walipakodi vizurihizo pikipiki umeishawahi kuiona hata moja tu ikiwa imebeba mgonjwa? Yaani zote zimewekwa vituoni na zinaoza kwani kwa muundo wake hauwezi kuiendesha kwani kona ya kushoto ukipiga unakutana na kitanda cha mgonjwa.