Mwaka huu bila shaka nitashinda green lottery

Mwaka huu bila shaka nitashinda green lottery

Zee la madawa

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2022
Posts
1,746
Reaction score
4,093
Kuna mwanangu mmoja yupo new Harlem new York kama mnyanyua box sasa mwaka huu amkekuja likizo hapa nchi aisee jamaa amekuja na pamba kali na amewanulia ndugu zake wote ndinga kali ma v8 yaani daah sio poa jamaaa ameniambia mwa kazi yake pekee ya kunyanyua ma box tu mamtoni ameoa mzungu na anaishi kwenye apartment kali japo ni ya mortgage lakinj ni kali kwahiyo huyu mwana akanisihi kama nataka kuishi maisha ya ndoto yangu niende tu Mantoni kwenda kunyanyua box kwahiyo wakuu nawaaga mwaka huu naenda mamtoni kwa njia ya green lottery

Kwaherini! Karibuni Kentucky jimbo la Minneapolis
 
Umenifurahisha sana mkuu.

Ila maisha ya Marekani jipange...

Kama unayoyasema juu ya rafiki yako ni ya kweli basi kuna vitu hajakwambia mf. Kazi halisi anayofanya...n.k.

Kila la heri aisee!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom