Dr Shika wakati anahojiwa baada ya kutoka Rumande alisema ana USD 10 mil kwenye acc moja iliyoko London, tena akauliza, je hiyo haitoshi kununua nyumba za TZS 3 bil?
Bado hajatutajia acc mbili zilizobaki zina kiasi gani, that guy is real rich.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.