Keyboard_Warrior
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 6,086
- 10,355
Huyu Trump anazidi kuwa pasua kichwa, mwaka jana alipasua Iran nuclear facilities bila hata ya kujali uwepo wa wanasayansi kutoka RUSSIA katika majengo.
Mwaka huu ameenda kumnyakua kama panya road Maduro ambaye ni raisi wa Venezuela, kumbuka Venezuela ni mshirika wa RUSSIA na CHINA.
Kama hiyo haitoshi leo hii jeshi la Marekani kwa amri ya Trump limeiteka meli ya mafuta inayopeperusha bendera ya RUSSIA.
Inasemekana hili la mwisho limefanyika manowari ya kijeshi ya RUSSIA ikiwa mbio mbio kwenda kuilinda meli hiyo.
TRUMP anapima uthubutu wa PUTIN na RUSSIA!?
Nini kifuatacho!?