Mwaka 2020, 'Safari ya Matumaini' itaendelea au itaanza upya?

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Dec 27, 2012
10,278
25,846
Endapo Waziri Mkuu aliyejiuzulu kwa kashfa ya Richmond, Edward N. Lowassa atapeperusha tena bendera ya CHADEMA/UKAWA kwenye Urais wa Tanzania mwaka 2020, safari ya matumaini aliyoiasisi itaendelea ilipoishia mwaka 2015 au itaanza upya kama ilivyoanza kule Arusha?

Maana....
 
Endapo Waziri Mkuu aliyejiuzulu kwa kashfa ya Richmond, Edward N. Lowassa atapeperusha tena bendera ya CHADEMA/UKAWA kwenye Urais wa Tanzania mwaka 2020, safari ya matumaini aliyoiassisi itaendelea ilipoishia mwaka 2015 au itaanza upya kama ilivyoanza kule Arusha?

Maana....
Petro hivi wewe uko upande gani? au unategeshea? Tegeshea. Being a lawyer, avoid being undefined. Nikileta kesi kwako siwezi kukuamini maana you are not defined! Kwaheri, wala usinijiubu!
 
Endapo Waziri Mkuu aliyejiuzulu kwa kashfa ya Richmond, Edward N. Lowassa atapeperusha tena bendera ya CHADEMA/UKAWA kwenye Urais wa Tanzania mwaka 2020, safari ya matumaini aliyoiassisi itaendelea ilipoishia mwaka 2015 au itaanza upya kama ilivyoanza kule Arusha?

Maana....
Naomba asigombee bali awe mshauri wa UKAWA namna ya kushinda, ujue ukawa ukishinda naye ameshinda kwa kuiangusha ccm. Ifika mahali tuwe wakweli na tuukubali ukweli, tujiulize nini kilituzuia kushinda ilhali kulikuwa na hamasa kubwa ya mabadiliko 2015?
 
Kwani aliyetangazwa kabuni nini zaidi ya kuleta sintofahamu kwenye jamii. Mfanyakazi wa sasa ni sawa na mfanyakazi wa enzi ya mzee ruksa. Watumishi wamekuwa demoralized.
 
Naomba asigombee bali awe mshauri wa UKAWA namna ya kushinda, ujue ukawa ukishinda naye ameshinda kwa kuiangusha ccm. Ifika mahali tuwe wakweli na tuukubali ukweli, tujiulize nini kilituzuia kushinda ilhali kulikuwa na hamasa kubwa ya mabadiliko 2015?
Nilikuwa kwenye zoezi la kura ndugu yangu. Tulishinda.
Tatizo sijui Lubuva alitoa wapi yale matokeo!
 
Boss na Nguli wa Sheria Petro E. Mselewa Tuwe Wakweli kulisaidia Taifa. Waziri Mkuu Mstaafu kalifanyia Taifa Mambo mengi yakiwa Mazuri na Mapungufu yake. Umri umesogea. 2020 inabidi apumzike. Abaki kwenye Kamati ya Ufundi.

My Take: 2020 Upinzani unahitaji uwe na Damu Changa kupeperusha Bendera yao. Pia kikubwa waache Tamaa, kila Jimbo wawe na Mgombea mmoja tu. Sio mambo Jimbo Moja wagombea 10. Hapo ni kugawana Kura na CCM. Upinzani wakifanikiwa KUUNGANA, 2020 CCM ni Chali, otherwise tusihangaike kutafuta Mchawi.

Endapo Waziri Mkuu aliyejiuzulu kwa kashfa ya Richmond, Edward N. Lowassa atapeperusha tena bendera ya CHADEMA/UKAWA kwenye Urais wa Tanzania mwaka 2020, safari ya matumaini aliyoiasisi itaendelea ilipoishia mwaka 2015 au itaanza upya kama ilivyoanza kule Arusha?

Maana....
 
Nilikuwa kwenye zoezi la kura ndugu yangu. Tulishinda.
Tatizo sijui Lubuva alitoa wapi yale matokeo!
Shida yangu ni hii;
1. Lowasa hakutupa ushirikiano wa kutosha kudai ushinda au hata kutoa ushahidi bali alitunyamazisha.
2. Ilikuwaje tushinde urais ubunge tupate wachache?

Nilikuwa wakala wa kujitolea ukawa japo ni sehemu ambako watu wanajitambua, ukawa tulishinda kwa kishindo lkn sababu pia tulikuwa makini na wakali wa kulinda kura.
Ninaamini JPM alishinda kwa ushindi mwembamba sana lkn alishinda.
 
Back
Top Bottom