Gattawa
Member
- Oct 13, 2018
- 32
- 17
mwaka 2014 nilipokua nasoma chuo kikuu DSM nilikua nimepanga gheto maeneo flani uswazi huko nikiwa na mshikaji wangu, sehemu ambayo tulipanga kulikua na mtoto mmoja mkali kiasi flani shombe shombe,
nilitupa nyavu zangu mtoto akanasa nikafanikiwa kula papuchi ilikua ni kama utani sababu sikua nimejiandaa kwa show siku hiyo hivyo nilikosa condom nikamla kavu kavu, basi baada ya kama wiki kuna dada hapo jirani akaniambia yule msichana ana ngwengwe a.k.a UKIMWI duh nilipata ganzi ya ghafla nikaenda kulala mazima, sikuenda chuo kama 2 week hivi mawao kibao sijawahi kua na hofu kubwa kiasi kile maisha yangu yote niliishi kwa wasiwasi sana na kutojiamini.
so within a week nikawa nimepata maumivu makali ya kichwa never had before yaani ile frequent headache, baada ya wiki nikapata fatique ile sehemu zote za joints zinawaka moto na maumivu, nikapata vidonda kwenye ulimi na fungus kwenye sehemu za siri, huku sehemu za kwapani nikihisi kama kuna viuvimbe flani hivi, ile fungusi ilinipa mpaka inflamation ya ngozi kwenye mikono. kila niki google dalili za HIV/AID's zote ninazo sababu mpaka uzito kwa kipindi hiko nilikua na kilo 66 kabla ya mkasa huu ila baada ya mwezi nilivyopima uzito nilikua na kilo 60, yote haya yalikua within a month dadeki nikahesabu tu hapa nishaupata UKIMWI.
kutokana na hali hiyo ilikua nikisikia neno ukimwi kwenye radio, tv au washikaji wakiongea napata hofu kubwa sanaa alafu nachukia mno hata nikisoma kipeperushi cha kutoa elimu ya UKIMWI. niliishi hivyo kwa siri bila ya kumwambia mtu kwa takribani miezi 6, mpaka tulipofunga chuo nikaenda home nikapiga moyo konde, mwanaume nikajisemea potelea mbali piga ua galagaza lazima nikapime na kweli nilienda zahanati ya kwanza nikapima ukimwi, kisukari, na malaria, nikashangaa sana kuambiwa sina vyote hivyo yaani hata ukimwi sina hapana hilo sikuamini, ila kidogo nilianza kupata amani ya moyo.
nikatulia kama 2 weeks nikaenda kupima zahanati nyingine ile ya mwanzo sikuamini majibu yake sasa hii zahanati ya pili yule doctor alikua mzee wakati napima sababu hakukua na watu wengi aliniambia angalia kipimo chako hiko hapo usubiri majibu ujionee mwenyewe na kweli kipimo kikaleta majibu kua ni negative mwenyewe nashuhudi still sikuamini ila alinielekeza kile kipimo kinavyofanya kazi coz sikua nafahamu, basi from that day sijui ile fatigue ikaanza kupotea, fungus na vidonda vya ulimi nilimeza dawa vyote vilipona. Kupima nako ni uthubutu ambao watu wenye ujasiri tu ndio wanaweza kua jasiri leo acha kufa kiroho.
Ila nimejifunza kwenye maisha ukiwa na hofu na kitu flani hata kama hiko kitu hakipo hofu yako inasababisha uwepo wa hiko kitu imaginary mwishowe unapata intra personal conflict hofu ni mbaya sana always we have to find truth over everything.