Mimi ni muumini wa nyumba moja tu...so nitakuwa na amani kama neno nyumba ndogo utaliondoa..na sitawasemea wa BUZI!Kwa ufupi kuna mambo mengi nimeyafanya na kufanyiwa, and its going to take the whole of the remaining part of this year ili kukieleza....Lakini kimsingi, kubwa kuliko yote ni kwamba nimeweza kuwa na amani na familia yangu yote, na Mke wangu amenionyesha maximum love..!. My wish for the coming year ni double of everything!