MamaSamia2025 JF-Expert Member Joined Mar 29, 2012 Posts 20,682 Reaction score 42,747 Sep 27, 2022 #41 Jocasta said: Huu ujinga peleka kule Fbook Click to expand... Acha kuudharau mtandao wa Facebook. Ule mtandao bado nd mtandao wenye nguvu zaidi duniani kwa upande wa mitandao ya kijamii.
Jocasta said: Huu ujinga peleka kule Fbook Click to expand... Acha kuudharau mtandao wa Facebook. Ule mtandao bado nd mtandao wenye nguvu zaidi duniani kwa upande wa mitandao ya kijamii.
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 74,283 Reaction score 183,168 Sep 27, 2022 #42 National Anthem said: Shangazi umeanza lini fix πππ.. Usema kweli hata baba na mama walikuwa hajuani bado hiyo 2000 Click to expand... khakhakhaaaa
National Anthem said: Shangazi umeanza lini fix πππ.. Usema kweli hata baba na mama walikuwa hajuani bado hiyo 2000 Click to expand... khakhakhaaaa
Kinengunengu JF-Expert Member Joined May 3, 2021 Posts 1,717 Reaction score 4,410 Sep 27, 2022 #43 Nimemaliza form six Galanos Secondary kwenye combination ya CBA
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,816 Reaction score 13,772 Sep 27, 2022 #44 Mawawa said: Mimi naanza nilikuwa darasa la kwanza. Haya twende tiririka. Click to expand... Mi nikiwa na 3rd born...
Mawawa said: Mimi naanza nilikuwa darasa la kwanza. Haya twende tiririka. Click to expand... Mi nikiwa na 3rd born...
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 74,283 Reaction score 183,168 Sep 27, 2022 #45 Kakalake Ushimen wewe huo mwaka ulikua langapi??π
Vesuvius JF-Expert Member Joined Jun 27, 2021 Posts 3,303 Reaction score 6,507 Sep 27, 2022 #46 Fredinho said: umenikumbusha mbali sana aisee,na Hadija Kopa akatoa na wimbo wa y2k Click to expand... Ilikuwa gumzo..sikuwa hata najua ni kitu gani y2k mzee akanielekeza maana yake
Fredinho said: umenikumbusha mbali sana aisee,na Hadija Kopa akatoa na wimbo wa y2k Click to expand... Ilikuwa gumzo..sikuwa hata najua ni kitu gani y2k mzee akanielekeza maana yake
Baba wa mbingu JF-Expert Member Joined Jul 30, 2022 Posts 548 Reaction score 1,330 Sep 27, 2022 #47 Mawawa said: Mimi naanza nilikuwa darasa la kwanza. Haya twende tiririka. Click to expand... mhh ndo kwanzaa nlikuwa namiaka miwili kijana wa mbauda
Mawawa said: Mimi naanza nilikuwa darasa la kwanza. Haya twende tiririka. Click to expand... mhh ndo kwanzaa nlikuwa namiaka miwili kijana wa mbauda