MKONGA
JF-Expert Member
- Feb 19, 2015
- 667
- 453
Katika pita pita zangu, nimekutana na picha ya black & white. Ni ya machifu wa Kingoni walionyongwa na Wajerumani mwaka 1906 kwenye vita ya majimaji.
Nimejiuliza swali kwenye picha ile majibu kidogo yakaniwia magumu nikaona nije hapa sintokosa majibu mahusisi kwa maswali yangu.
1.Hivi mwaka 1906 kamera zilikuwepo tayari? Vipi za video nazo zilikwepo?
2.Ile picha ni 1906 kwa vyovyote aliipiga Mjerumani ambaye ezi hizo ni adui mkubwa kwetu picha ile ilitunzwa wapi mpaka leo? Na nani?
3.Kama 1906 kamera zilikuwepo, kabla ya mwaka huo zilianza kutumika lini?