Mwaka 1906 Wangoni walipigwa picha na Mjerumani

MKONGA

JF-Expert Member
Feb 19, 2015
667
500

Katika pita pita zangu, nimekutana na picha ya black & white. Ni ya machifu wa Kingoni walionyongwa na Wajerumani mwaka 1906 kwenye vita ya majimaji.

Nimejiuliza swali kwenye picha ile majibu kidogo yakaniwia magumu nikaona nije hapa sintokosa majibu mahusisi kwa maswali yangu.

1.Hivi mwaka 1906 kamera zilikuwepo tayari? Vipi za video nazo zilikwepo?

2.Ile picha ni 1906 kwa vyovyote aliipiga Mjerumani ambaye ezi hizo ni adui mkubwa kwetu picha ile ilitunzwa wapi mpaka leo? Na nani?

3.Kama 1906 kamera zilikuwepo, kabla ya mwaka huo zilianza kutumika lini?
 
Easyway

JF-Expert Member
Oct 5, 2012
2,596
2,000
Camera ya kwanza ilitengenezwa na Alexander Wolcott, alivumbua tarehe 8 may 1840, Hao mashujaa walinyongwa kipindi ambacho Kuna Kamera, kwa hiyo hizi picha ni halisi.
Pia zipo picha nyingine nyingi za Hao wangoni.
louis le prince yeye aligundua video Camera mwaka 1895

Wenzetu wanatunza sana kumbukumbu.
 
kalagabaho

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
5,184

Hawa wazungu yesu kawafundisha kuua!! Walaaniwe!!
 
Mokoyo

JF-Expert Member
Mar 2, 2010
15,177
2,000
Camera ya kwanza ilitengenezwa na Alexander Wolcott, alivumbua tarehe 8 may 1840, Hao mashujaa walinyongwa kipindi ambacho Kuna Kamera, kwa hiyo hizi picha ni halisi.
Pia zipo picha nyingine nyingi za Hao wangoni.
louis le prince yeye aligundua video Camera mwaka 1895

Wenzetu wanatunza sana kumbukumbu.
nasikia ni za kuchora
 
CHAULA RICH

JF-Expert Member
Jan 8, 2015
6,938
2,000
Wameua kwa jina la yesu!!
Acha ujinga!,jitu zima ovyooooooo! KAzi yenu kuleta chuki za kidini hapa,huyo shetani aliyekutuma mwambie hapa tupo akina CHAULA,vyuma vya pua Kristo anafanyakazi ndani yetu,hatutaweza kukubali ujinga huo.Sheria ya mtandao ianze na watu km wewe.
 
CHAZA

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
7,385
2,000
Weweee!,ukome kabisa ibilisi mkubwa,unadhani Yesu ni km Yule mwanzilishi wenu wa makkar anayesema ukimuua mkristu unaipata mbingu hata km mkristu akikuwahi wewe umeipata?,thubutu! Yesu siyo wa kuchezewa hivyo tena acha kabisa tusije chafua hali ya hewa.
Waliowapiga kitanz hao Wangoni si ni hao hao walioacha Makanisa kule Ndanda na Peramiho? Hao si wanaabudu Yesu? Je huruma walikuwa nayo?Pumbaf kabisa!
 
Ally Kombo

Verified Member
Nov 11, 2010
11,432
1,225
Weweee!,ukome kabisa ibilisi mkubwa,unadhani Yesu ni km Yule mwanzilishi wenu wa makkar anayesema ukimuua mkristu unaipata mbingu hata km mkristu akikuwahi wewe umeipata?,thubutu! Yesu siyo wa kuchezewa hivyo tena acha kabisa tusije chafua hali ya hewa.
Yesu mwenyewe mbona kauliwa kwa style hiyo hiyo! CHAULA RICH
 
Last edited by a moderator:

jogi

JF-Expert Member
Sep 25, 2010
25,316
2,000
Inasikitisha na inatia hasira, kibaya zaidi kuna watu humu wameshajitoa ufahamu kabisaaa!!!!
Inakuwa ni zaidi ya sikitiko.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom