kabintispecial
Member
- Feb 16, 2014
- 67
- 31
jamani naombeni mnisaidie kufahamu hii statement..mtu akisema ni mwajiriwa wa serikali anamaanisha nin exactly?
Maswali mengine bana.
sasa kwanin wengi wao huwa hawaspecify?
Kwani tatizo ni nini?
Mimi ni mwajiriwa wa serikali mwalimu,na pia cheo changu ni mwalimu wa darasa,halimashauri ya wilaya ya Manyunyu,Mkoa wa Mchafukoge
Maana yake ni kwamba ni mtumishi wa umma ambaye anaweza akawa anafanya kazi kwenye serikali kuu,serikali za mitaa,mashirika ama taasisi za serikali!!!!
Public servant
Maswali mengine bana.
Hata madereva wanaajiriwa mkuu
usidhan wakurugenzi tuu
kwani ukiambiwa ni mwajiriwa wa ITV au coca cola inamaanisha nini?
sasa kwanin wengi wao huwa hawaspecify?
Maana yake ni kwamba ni mtumishi wa umma ambaye anaweza akawa anafanya kazi kwenye serikali kuu,serikali za mitaa,mashirika ama taasisi za serikali!!!!
Public servant
Maswali mengine bana.
Hata madereva wanaajiriwa mkuu
usidhan wakurugenzi tuu
kwani ukiambiwa ni mwajiriwa wa ITV au coca cola inamaanisha nini?
sasa kwanin wengi wao huwa hawaspecify?
hhha hhaa Tanzania or?
Jamani eeehe, hivi mie ninayeendesha daladala au kuuza sokoni/dukani/baba lishe sio mtumishi wa serikali kwa maana ya public servant?