mkuu hebu tulia kwanza na twende taratibu, kwa daladala yangu (bila kujali ni ya serikali ama yangu binafsi), je nitakuwa nahudumia serikali ama umma kwa kubeba abiria?
kama daladala ni ya serikali,,,basi ww ni mtumish wa umma,na wizara ya utumish inakutambua