Mwaipopo anadhalilisha cheo cha Usheikhe.

Hamjambo!

Zamani tulizoea kuona huku Ukristoni pakitokea watu wanaodhalilisha vyeo kama uchungaji, ukuhani, unabii na utume.
Ilifikia hatua mpaka Waislam wakawa wanasema Wakristo ni mazuzu kwani inawezekanaje mtu ajiitaye mchungaji au nabii awe hana sifa hizo na bado akawa na wafuasi na wanatoa hela.

Lakini muda umefika. Uislam nao umeingia katika mtihani. Pamezuka watu wajiitao waislam ambao wanaudhalilisha uislam na waislam. Masheikhe ubwabwa.

Mwaipopo nafikiri ni bora asitumie hilo jina la kwanza kama kweli anaheshimu dini yake hiyo na kuheshimu waislam wenzake. Kwani anaivunjia heshima na kuchafua hadhi ya usheikhe.

Mtu wa dini yoyote mwenye uchaji Mungu hawezi kumwombea mtu mwingine kunyongwa. Achilia mbali kushawishi watu waombee mtu mwingine anyongwe.

Mwaipopo acha kabisa hizo. Usitumie siasa kuwapa sababu wasioupenda uislam kupata reference ya kudharau dini yako.

Nimemaliza
Bw John Mwaipopo sio Sheikh wa lolote hana elimu yoyote ya Kiislamu zaidi ya hapa na pale alipokuwa Zanzibar
Anatumiwa tuu.
 
Hamjambo!

Zamani tulizoea kuona huku Ukristoni pakitokea watu wanaodhalilisha vyeo kama uchungaji, ukuhani, unabii na utume.
Ilifikia hatua mpaka Waislam wakawa wanasema Wakristo ni mazuzu kwani inawezekanaje mtu ajiitaye mchungaji au nabii awe hana sifa hizo na bado akawa na wafuasi na wanatoa hela.

Lakini muda umefika. Uislam nao umeingia katika mtihani. Pamezuka watu wajiitao waislam ambao wanaudhalilisha uislam na waislam. Masheikhe ubwabwa.

Mwaipopo nafikiri ni bora asitumie hilo jina la kwanza kama kweli anaheshimu dini yake hiyo na kuheshimu waislam wenzake. Kwani anaivunjia heshima na kuchafua hadhi ya usheikhe.

Mtu wa dini yoyote mwenye uchaji Mungu hawezi kumwombea mtu mwingine kunyongwa. Achilia mbali kushawishi watu waombee mtu mwingine anyongwe.

Mwaipopo acha kabisa hizo. Usitumie siasa kuwapa sababu wasioupenda uislam kupata reference ya kudharau dini yako.

Nimemaliza
Akili ya shehe ubwabwa Mwaipopo ni sawa na ya Yericko, wote ni wehu!
 
Ila katusaidia sana kujua kuwa uchaguzi haukufanyika kwa sababu ya vurugu. Swali, je zile 98% zilitoka wapi wakati uchaguzi haukufanyika?
Mwaipopo chunga sana kwani unaodhani wamekuweka mbele kama spika watakushughuloloa maana umewasokomezea kaa la moto kunako!
 
Back
Top Bottom