Mwaipopo akemewe ataleta balaa la chuki za kidini

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
50,141
Reaction score
96,170
Kuna hate religious speech ya huyu anayejiita sheikh Mwaipopo ina trend hiko X (Tweeter), akihubiri Waislam watu wajenge chuki dhidi ya ukristo. Huyu anaipeleka nchi pabaya. Kuna wajinga watamsikiliza! Kama ametumwa na CCM, basi CCM mnachanga karata vibaya!

Huyu ni hatari, serikali, mamlaka husika mkemeeni.

Nape ame mute , ikiashiria ana baraka zake, directly, kama siyo hivyo basi by necessary implication

Kuna hate religious speech ya huyu anayejiita sheikh Mwaipopo ina trend hiko X (Tweeter), akohubiri Waislam watu wajenga chuki ukristo. Huyu anaipeleka nchi pabaya. Kuna wajinga watamsikiliza! Kama ametumwa na CCM, basi CCM mnachanga karata vibaya!

Huyu ni hatari, serikali, mamlaka husika mkemeeni.

Nape ame mute , ikiashiria ana baraka zake, directly , kama siyo hivyo basi by necessary implication
CCM imeshaona haipo tena hata ndani ya nafsi za wafuasi wake. Imeamua kuparanganya nchi ili chama kitakachokabidhiwa nchi kijikute katikati ya machafuko
 
Kuna Watu wamepata wasiwasi na mashaka baada ya Shehe Mwaipopo kuishutumu Chadema Kwamba inatembea na Padre

Ni Yeye mwenyewe Shehe Mwaipopo ndio alikiri Kwamba Katoliki ndio Dini kubwa duniani

Sasa kuna ubaya gani Chadema kutembea na Padre au mstaafu kumlipia matibabu Kardinali?

Mashehe wengine tusiwachukulie serious labda Alhaj Kundecha pekee

Jumaa Mubarak 😄😄🔥
 
Kuna hate religious speech ya huyu anayejiita sheikh Mwaipopo ina trend hiko X (Tweeter), akohubiri Waislam watu wajenga chuki ukristo. Huyu anaipeleka nchi pabaya. Kuna wajinga watamsikiliza! Kama ametumwa na CCM, basi CCM mnachanga karata vibaya!

Huyu ni hatari, serikali, mamlaka husika mkemeeni.

Nape ame mute , ikiashiria ana baraka zake, directly , kama siyo hivyo basi by necessary implication
Baada ya kuongea ukweli ambao wazee wa 🌈 hamuupendi si ndio? Naunga mkono Mwaipopo
 
Kuna hate religious speech ya huyu anayejiita sheikh Mwaipopo ina trend hiko X (Tweeter), akohubiri Waislam watu wajenga chuki ukristo. Huyu anaipeleka nchi pabaya. Kuna wajinga watamsikiliza! Kama ametumwa na CCM, basi CCM mnachanga karata vibaya!

Huyu ni hatari, serikali, mamlaka husika mkemeeni.

Nape ame mute , ikiashiria ana baraka zake, directly , kama siyo hivyo basi by necessary implication
Are you saying CCM wana chuki na Wakristo?
 
Kuna Watu wamepata wasiwasi na mashaka baada ya Shehe Mwaipopo kuishutumu Chadema Kwamba inatembea na Padre

Ni Yeye mwenyewe Shehe Mwaipopo ndio alikiri Kwamba Katoliki ndio Dini kubwa duniani

Sasa kuna ubaya gani Chadema kutembea na Padre au mstaafu kumlipia matibabu Kardinali?

Mashehe wengine tusiwachukulie serious labda Alhaj Kundecha pekee

Jumaa Mubarak 😄😄🔥
porojo za wafia dini wa mchongo
 
Back
Top Bottom