Just Pray
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,142
- 4,779
Mgombea Ubunge Jimbo la Tabora mjini kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Hawa Mwaifunga akiwa katika mkutano wa Kampeni katika kata ya Tumbi leo Septemba 21,2025 amewaahidi Wananchi wa kata hiyo kukamilisha ujenzi wa Zahanati na ukarabati wa Barabara inayotoka Barabara kuu ya Urambo hadi Kijiji cha Itema.
Mwaifunga amesema kuwa yote hayo yatafanyika kwasababu tayari yameainishwa kwenye ilani ya Chama cha Mapinduzi CCM ya Mwaka 2025/30 hivyo Wananchi wakichague Chama hicho ili waweze kutekeleza hayo.
Mwaifunga amesema kuwa yote hayo yatafanyika kwasababu tayari yameainishwa kwenye ilani ya Chama cha Mapinduzi CCM ya Mwaka 2025/30 hivyo Wananchi wakichague Chama hicho ili waweze kutekeleza hayo.