kilikiliani
Member
- Apr 18, 2012
- 23
- 3
Thanks God Mwanahalisi imerudi kwa njia ya Gazeti la Mawio! Linatoka kila Alhamisi!! Now everything is open!!
Shiiiiiiiii!!!!!! Watalifungia tena. Usewe unasema kila kitu.
Thanks God Mwanahalisi imerudi kwa njia ya Gazeti la Mawio! Linatoka kila Alhamisi!! Now everything is open!!
Kwa kweli hili twende nalo mpaka ije ifike 2015 pumba na mchele vitakuwa vimeishajitenga!Tufanye kila kitu kimyakimya wasije kulishtukia maccm