Mwafrika anatakiwa kubadilika

Mwafrika anatakiwa kubadilika

lepaima

Member
Joined
Nov 3, 2017
Posts
44
Reaction score
12
Nilichojifunza kwa Mwafrika....
Mwafika sio mtu mkweli kabisa na hawezi kusema ukweli. Ni mtu anayependa vitu vya short cut sana. Mfano unaweza kumwazima mtu pesa anakuambia anakutumia lakini mwisho wa siku unampigia cm hapokei na mwishoni anazima simu. Ni bora kusema ukweli sina au siwezi kukukopesa mtu kama wewe kuliko mtu kukusubira mwisho wa siku anaambulia zero. Inakera sanaa.

Kingine ni muda...
Mwafika hawezi kuweka vitu au ratiba iwe kwenye muda uliopo. Mara zote yupo nje ya muda tena zaid ya masaa 3. Tena siku hizi unakuta anasema muda wa kiafrika. Unapanga mkutane na mtu sa 3 asubuhi anakuna sa7 anakuambia alipatwa na udhuru. Muda wote anakuambia yupo njian anakuja.
Jaman tubadilike mana hivi vitu vinakera sana. Usiombe vikukute.
 
Back
Top Bottom