sio bongo hiyo..lkn tukio la huyo konda limeonyesha udhaifu kweli kina scorpion mpk ikawa habari ya mjini ndo akakamatwa lkn konda aliekuwa anadai haki yake kafanyiwa mbaya! maskini tz
wanaostahiri ubaya wanapewa uzuri na wanaostahiri uzuri wanapewa ubaya! hivyo ndivyo tulivyo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.