CCM msikubali marekebisho ya Katiba yenu, mtakwisha!!!

Elli

Platinum Member
Mar 17, 2008
55,518
86,066
Tlivyosema mwaka ule, mkatutungia wimbo kuwa tutaisoma namba, kweli namba tumeisoma ila wenzetu mmeikariri hadi wengine kuwa hivyo mlivyo leo.

Sasa "marekebisho" hayo ya Katiba ndio utakua mwisho wenu. Kama CCM mnajipenda kataeini hili kwa nguvu zote, kimya kimya haitasaidia, kama vile mlivyoweza kuimba siku ile pale Dodoma. Fanyeni hivyo hivyo tena, vinginevyo Mwafaaa.
 
Hivi unadhani CCM ni wajinga kwa kiwango unachodhani?

Ukiona mpinzani anakupa ushauri wa kuachana na unachokifanya basi tambua kuwa unachokifanya kiko sahihi.

''Mtu mwenye akili timamu akikuambia suala la kipumbavu, ukalikubali atakudharau-Mwl. Nyerere
 
huwa naamini lipo kusudi la Mungu kutupa huyu raisi japo kwa upande wangu sijajua hadi leo
 
Tlivyosema mwaka ule, mkatutungia wimbo kuwa tutaisoma namba, kweli namba tumeisoma ila wenzetu mmeikariri hadi wengine kuwa hivyo mlivyo leo.

Sasa "marekebisho" hayo ya Katiba ndio utakua mwisho wenu. Kama CCM mnajipenda kataeini hili kwa nguvu zote, kimya kimya haitasaidia, kama vile mlivyoweza kuimba siku ile pale Dodoma. Fanyeni hivyo hivyo tena, vinginevyo Mwafaaa.
Wajithubutu kukataa atawapoteza wote
 
Siyo mara ya kwenu ya kwanza kusema CCM imekwisha. Bado ndo inazidi kuimarika zidi. Tatizo la CCM lilikuwa ni ile mijizi na mibwia Unga ambayo sasa imekimbilia msituni
 
Maajabu chadema kuipa ccm ushauri wenye tija!
Tafsi yake nikwamba hayo yamabadiliko (kama kweli yapo) basi yatakuwa na maana sana kwa afya ya ccm hivyo hawapaswi kurudi nyuma!
 
Back
Top Bottom