MwanaDiwani
JF-Expert Member
- Mar 22, 2013
- 5,536
- 2,268

Rais Dkt Jakaya Mrisho kikwete akimlaki Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam,Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, aliyekwenda kumjulia hali na kumpa pole Ikulu jijini Dar es salaam, Desemba 23, 2014



Rais Dkt Jakaya Mrisho kikwete akimsindikiza Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu la Dar es Salaam,Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo baada ya maongezi ya faragha.
