Punguza viroba weweHakuna maongezi zaidi ya kumwambia JK asikomalie benki yetu ya Mkombozi Bank.
RC will always lead.
Duuh ni shida kumjulia hali au kuna mengine tena
Hakuna maongezi zaidi ya kumwambia JK asikomalie benki yetu ya Mkombozi Bank.
Mh kavaasuti ya aina moja tangu jana akina nassib walipoenda na leo, same suit
Hata mimi sipingi mtu kujuliwa hali, tatizo ni kwamba, sijawahi kumuona Jakaya Kikwete kapigwa picha Ikulu anapitia karatasi la kikazi! Au anafanya mkutano wa kikazi na aids wake. Au anafikiria jambo au anafanya press conference kujibu maswali ya issue za nchi. Yeye ni vishughuli na wageni, vishughuli na wageni, vishughuli na wageni. Wageni wenyewe Diamond au Hashimu na Mama yake, na vishughuli vyenyewe Ikulu ni vikao vya futari au kusalimiwa na Maaskofu wenye mabenki ya ku launder mahela ya wizi.sioni tabu kumjulia hali Rais na kumpa update za ujio wa Pope Francis.
Ndiyo nini umeandika.MKOMBOZI BANK at Work au?
Hakuna maongezi zaidi ya kumwambia JK asikomalie benki yetu ya Mkombozi Bank.
Huyu kadinari wa Mkombozi bank katuaibisha Sana waamini, na timing ya kukutana na JK won't help
Chaguo la Mungu a.k.a Mkombozi bank, no I mean Mkombozi.
MKOMBOZI BANK at Work au?
1. Eti ameenda kumpa pole rahisi!? Pole anapewa leo baada ya kupona?
2. Ukizingatia hali ya sasa ya taharuki nchini kuhusiana na skendo ya fedha za umma "zilizochotwa" toka katika acount ya escrow iliyokuwa BOT na kupitishwa katika benk ya Stanbic na Mkombozi inayomilikwa na hilo kanisa analoliongoza huyo askofu, je pamoja na kupeana hiyo pole hawakuzungumza chochote kuhusiana na hii skendo?
3. Eti ni kwanini huyo askofu kama kiongozi wa watu na hata huyo rahisi hawakutaka awepo mtu mwingine yeyote zaidi ya mlizi na mpiga picha wa rahisi? Ni ili asijevujisha siri ya pole aliyopewa rahisi na kiongozi wa kanisa linalomiliki benki ilikopitishwa fedha iliyochotwa BOT!?
Tatizo akili huna ndiyo maana unazungumza hayo kwani kila siku unakuwepo ikulu haya hapa alikuwa anafanya nini.Hata mimi sipingi mtu kujuliwa hali, tatizo ni kwamba, sijawahi kumuona Jakaya Kikwete kapigwa picha Ikulu anapitia karatasi la kikazi! Au anafanya mkutano wa kikazi na aids wake. Au anafikiria jambo au anafanya press conference kujibu maswali ya issue za nchi. Yeye ni vishughuli na wageni, vishughuli na wageni, vishughuli na wageni. Wageni wenyewe Diamond au Hashimu na Mama yake, na vishughuli vyenyewe Ikulu ni vikao vya futari au kusalimiwa na Maaskofu wenye mabenki ya ku launder mahela ya wizi.
Huyu mtu labda hana hata dawati la kazi. Nani amewahi kuliona presidential desk la JK?
Hata mimi sipingi mtu kujuliwa hali, tatizo ni kwamba, sijawahi kumuona Jakaya Kikwete kapigwa picha Ikulu anapitia karatasi la kikazi! Au anafanya mkutano wa kikazi na aids wake. Au anafikiria jambo au anafanya press conference kujibu maswali ya issue za nchi. Yeye ni vishughuli na wageni, vishughuli na wageni, vishughuli na wageni. Wageni wenyewe Diamond au Hashimu na Mama yake, na vishughuli vyenyewe Ikulu ni vikao vya futari au kusalimiwa na Maaskofu wenye mabenki ya ku launder mahela ya wizi.
Huyu mtu labda hana hata dawati la kazi. Nani amewahi kuliona presidential desk la JK?