Mwadhama - Kardinali Polycarp Pengo ni mgonjwa

Hahahah baba yako nini huyo Mwanya mbona unakuwa mkali? Mwambie aanze tiba na asisahau kufuata ushauri wa Doct mapema

Hawa wenzetu huwa hawakubali ushauri wa Daktari manake wameambiwa Muumini wa kweli ataponywa kwa jiiiiiiina la yesu peke yake!

Sasa waumini wakiskia KADINALI MZIMA YUKO ANAPIGWA SINDANO. basi wale waliokuwa wanaponywa na huyo Kadinali maradhi yatazidi sana.

Ndio wameamu kuuchuna! Lkn mi machale yanancheza!
Lzm kuna daktari anapitishwa mlango wa uani, anafanya mambo halafu huyooooo!
 
His eminence Cardinal Polycalp Pengo(PhD) Askofu mkuu Jimbo la Dar es Salaam au Mwakilishi wa His Holiness Pope Fransis wa Asisi........waislam bwana utawajua tu!

Teh teh teh teh! Sasa kama kuna kina mapengo wengi asiulize!?

Halafu aliyempa hicho cheo cha Holiness huyo pope ni nani??
 

Msukule unabwabwaja... Unapata shida kwa ni Ukristo hauna rejea popote lakini uislam rejea ni Wakristo. Mapepo yanakupanda kwa kuwa Wakristo Quran kwao si chochote Hata toilet paper inathamani, wapoteza muda katika kuweka level ya mafundisho ya mkabaji wa mapangoni na Yale ya Mungu...
 



We ANDIKO LAKO SI LINA THAMANI?

Hebu tusaidie basi hapa! Ili uuonyeshe huu ulimwengu wa Jf kuwa kweli BIBLIA ina thamani na QURAAN ni takataka.!


Wewe ktk hio ibada yako ya kigalatia ya agano jipya unafuata waandishi/wapokezi wa maagano wafuatao.

MATAYO

MARKO
.
LUKA.

YOHANA .

Na kama tujuavyo ktk huu ulimwengu HAKUNA BINAADAMU HATTA MMOJA akawa na JINA MOJA TU na AKUBALIKE!

Yaani kwa kifupi wewe ukiandika jina MOJA TU kwenye kitambulisho au kwenye paspoti au hata kwenye cheki ya benki vyoote hivyo HAVITO KUBALIKA KI SHERIA!

Na hakuna DOCUMENT YOYOTE DUNIANI ILIOANDIKWA NA MTU YYT Halafu ikawa NA JINA MOJA TU bila JINA LA MZAZI.!

Na kanuni hii NI TOKA YESU HAJAZALIWA.
Huwezi KUANDIKA CHOCHOTE HALAFU KIKAKUBALIKA KWA JINA MOJA TU! Its impossible.

Sasa hebu TUSAIDIE MAJINA YA WAZAZI WA HAO JAMAA HAPA.
.
MATAYO.....?
MARKO.......? .
LUKA........?
YOHANA.......?

Ukinipa hayo majina yao YA PILI na mimi nabatizwa leo hii bila maji ( yaani kavu kavu).!

Haya nasubiri majina ya Wazazi wao tu!
Naomba usiniwekee mipasho tena! Na maneno ya rusha roho.
Manake hio sio fani yangu.
 
Teh teh teh teh! Sasa kama kuna kina mapengo wengi asiulize!?

Halafu aliyempa hicho cheo cha Holiness huyo pope ni nani??
Mimi sina shaka dini yoyote inayochochea fujo, kulipiza kisasi albadiri ni dini ya shetani.....
 
Mimi sina shaka dini yoyote inayochochea fujo, kulipiza kisasi albadiri ni dini ya shetani.....

Yaani hapo mkulu umepiga pentagon.
Hebu cheki hii moja inatwambia nini.

Kumb la torati 7:21

wakati Bwana, Mungu wako, atakapowatoa mbele yako, nawe utawapiga; wakati huo ndipo uwaondoe kabisa; usifanye agano nao, wala kuwahurumia.

Mlago wa 2. 33-

Bwana, Mungu wetu, akamtoa mbele yetu, tukampiga yeye na wanawe, na watu wake wote.-
34-Tukatwaa miji yake yote wakati huo, tukaharibu kabisa kila mji uliokuwa na watu, pamoja na wanawake na wadogo; tusimsaze hata mmoja;

Hii tabia ya kuhamasisha fujo na kuchinjana ni Hatari sana kwa Taifa letu.

Tanzania inahitaji kushkamana pamoja.
 

Msukule inathibitisha uze.zeta wako...
 


Msukule inathibitisha uze.zeta wako...

Hayo ndio majina ya wazazi wao!?

Nadhani wasomaji wanakusoma vizuri sana ndugu mchungwaji!
 

kijana acha dharau kwa imani za watu, ungekuwa karibu yang ningekuchapa bonge la kibao..... m.s.h.e.n.z.
 
Teh teh teh teh! Sasa kama kuna kina mapengo wengi asiulize!?

Halafu aliyempa hicho cheo cha Holiness huyo pope ni nani??

Halafu heshima ni kitu cha kujiheshimu mwenyewe, nyinyi mkiambiwaga kuwa mtume wenu bwana Mudi alilawitt.i wavulana? Msije mkaruka kinyamwezi
 

duh,mnatia huruma
 
Bwana kahatan unahangaika na zezeta asiejua hata kufikiri.sasa wazungu wanaruhusu liwat.au kwa neno jingine sodoma na Gomorrah.na viongozi Wa kanisa wamenyamaza.kwa hiyo katika biblia sodoma na gomorah imefutwa na imeandikwa ni haki ya binaadamu
 

majina mbona yanajulikana...soma hapo The four Gospel writers » BibleFascination
 
Kama yanajulikana si utuwekee hapa!?
Kwani kuna kazi gani kubwa kuandika tu. Mfano.

Matayo juma.
Au
Luka mwajuma halafu mbele yakw unatuwekea na ushahidi wa andiko.

Haya nasubiri jibu.

Wewe unaongea kwa kutumia ma.kalio.acha u.fa.la
 
Wewe unaongea kwa kutumia ma.kalio.acha u.fa.la

Teh teh teh!
Naona mgalatia unarusha ngumi hewani!

Labda wewe unaweza kunijibu!
Eti makasinali pia wanaugua?!

Hawa si huwa wanaponya watu kwa neno tu!
Sasa iweje nao waugue!?
Hebu nisaidie hapo!
 
Teh teh teh!
Naona mgalatia unarusha ngumi hewani!

Labda wewe unaweza kunijibu!
Eti makasinali pia wanaugua?!

Hawa si huwa wanaponya watu kwa neno tu!
Sasa iweje nao waugue!?
Hebu nisaidie hapo!

Makasinali siwajui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…