Sasa mbona unaanza kashfa!?
Mi nimeskia wakristo kila wakimuona mgonjwa wanasema ANA PEPO!
Na vilevile kila mara mnasema kila mgonjwa kaumizwa na pepo!
Sasa mi nakupeni ushauri. Mnatoa matusi!
Yesu ndio kawafundisha tabia mbaya namna hii??
Au kwa sababu ni wana kondoo ndio man haki ya kuongea kama kondoo??
...hahaaaa, kweli sisi ni zaidi ya majini ndo maana hatuna muda nayo kama nyie, na ndio maana sisi tuna uwezo wa kuyakemea kwa jina la Yesu, lakini nyie mnayaabudu kama yule sheikh wenu aliyekufa.
Na ndio maana nimesema wewe akili yako kuna bolt imepata kutu. Au kichwa chako kimejaa tope na siyo ubongo.
Aliyekwambia Kardinari Pengo ana pepo ni nani?????? umeshazoea kupiga madogori, na unataka kuleta hiyo tabia JF.
Kila ukikaa unafikiria pepo na mashetani kwa kuwa na wewe ni kizazi cha mashetani na pepo.
MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!!
Huyo hata mlie, ugonjwa wake HAMTOAMBIWA ng'oo!
Halafu!? Kumbe MAKADINALI NAO PIA WANAUGUAGA!??
Si wanasema tu! Unamponya kwa jiiiiiiiiiina la Yesu!? Au SIMAMA kwa jiiiiiina la Yesu! Halafu anapona saa hiohio!
Au wa kuyatamka hayo lzm awe mkubwa kuliko yeye!?
Naomba kufahamishwa hapo!
Kanisala la katoriki lifanye utaratibu limpeleke kwa Nabii TB Joshua uko lazima atapona
ndio nani huyo jamaa?
Kwani wale wanao tolewa Pepo Kanisani niaje ???!
Mbona nilimwona juzi tu akiwa mzima wa Afya hapo Oysterbay akiendesha mnada akiwa pamoja na mkapa?
ni rais wa wakatoliki Tanzania
Alokwambia kiongozi wa dini ndio aseme anaumwa nini ni nani? Ye ni binadamu kama wengine ana hiari kusema au kutokusema kama wewe ukiugua na kuwa na hiari kusema au kutokusema unaumwa nini.
Hiyo aya ya Qur'an: 18:50, imo katika Biblia kwenye Agano la Kale !Waislamu ndio mnaoumba Mapepo na kuwarusha kwa watu. Kwani wale mapepo ni ndugu zenu.
======================================================================================================
NUKUU YA KITABU:
Quran kinasema kuna malaika walioasi nawakafukuzwa katika utukufu wa Mungu.Katika Quran Suratul, al-Kahf, (Pango) 18:50 Na (Kumbukeni) tulipowaambia Malaika, Msujudieni Adamu. Basi wakamsujudia isipokuwa Ibilisi yeye alikuwa miongoni mwa majini na akavunja amri ya mola wake ..
Katika aya hiyo tunaona ibilisi akilaumiwa kwa kutomsujudia Adamu ingawa amri yakusujudu walipewa malaika kumbe kwa mujibu wa Quran Ibilisi alikuwa miongonimwao hao malaika yaani na yeye akiwa malaika.Kwa sababu Quran haina habari kuhusu malaika walioasi yaani majini ndiyo maanawanapata tabu kuhusu jambo hilo. Na ndiyo maana pamoja na kujua kuwa hayo majini ni mashetani, Muilsamu amehiari kushirikiana nayo kwa kuswali nayomsikitini. Na hata mwislamu huyu anapomaliza kusali husalimia kulia na kushotoakiwasalimia watu malaika na majini (mashetani) waliokuja kushiriki naye katikaIbada yake, soma katika (Irshadul Muslimiin, Sheikh Said Musa, Uk. 38).Katika Tafsiri ya Quran ya Iman Jalalai ni Uk. 6:151 anasema kuhusu majini
======================================================================================================
MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!!
Hiyo aya ya Qur'an: 18:50, imo katika Biblia kwenye Agano la Kale !
Haaa....haaa....haaa ! Ndugu zetu majini na mapepo yanawapenda kweli, kila mkiyatoa...kesho yamerudi !.............bora na nyie muunge undugu, maana kutoa pepo ni very expensive !
Huwa yakikomaa sana yanageuka Misukule, muulize Gwajima !
Halafu Mizambwa nimekudharauu !
Hiyo aya ya Qur'an: 18:50, imo katika Biblia kwenye Agano la Kale !
Haaa....haaa....haaa ! Ndugu zetu majini na mapepo yanawapenda kweli, kila mkiyatoa...kesho yamerudi !.............bora na nyie muunge undugu, maana kutoa pepo ni very expensive !
Huwa yakikomaa sana yanageuka Misukule, muulize Gwajima !
Halafu Mizambwa nimekudharauu !
Majini na Ui...slamu ni kama pete na kidole kuna mtoto hapa nlpo kakumbwa na majini.... akishapandisha majini yake tukiwa tunamwombea analia akisema tunarud msikitini