Mwacheni Mwami, kichwa kinawaka moto

Mwacheni Mwami, kichwa kinawaka moto

Wala sijaelewa,unaandika habari nusunusu kama unakimbizwa?
 
Anamwachia Nani sasa maana yeye si ndo alishinda kura za maoni mbele ya abdul
 
B lebo baa anamwita dalali. Anajua siri zake kibao na aliahidikuzimwaga na atachukua jimbo mapema sa5 asubuhi.
Nafikiri Atakuwa kamkimbia bwana yule
 
Zito KABWE ni Dalali Kitambo tu ndio Maana Chadema Walimshutukia Wakamtoa Mkuku, Lile ni Taperi la kisiasa na Aliwezi kumshinda Baba levo Never
 
Mwamba mambo yanambadilikia katika kiwango hawezi amini. Taarifa za uhakika kabisa amemkimbia Clayton Chiponda pale mwisho wa Reli. Hebu fikiria hilo anguko, yaani Ruyagwa anasepa kisa Baba Levo!
Dogo kwema? Antony Elanga kanunuliwa na Newcastle united kutoka Nottingham forest.
 
Back
Top Bottom