PostGE2025 Mwabukusi: Nimezitizama video za watu waliouwawa Oktoba 29, Inahitaji moyo wa kishetani kuzungumzia maridhiano

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,436
Reaction score
5,233
MTU NI UTU NA SIYO KILA MTU ANA UTU.

NIMEONA VIDEO KWENYE UKURASA WA DADA MANGE KIMAMBI.
NInapotizama video hizi za ndugu zetu walio uwawa na kulundikwa mithili ya Mikungu ya Ndizi kutokana na maandamano ya tarehe 29 oktoba 2025 Inahitaji moyo wa kishetani kuzungumzia maridhiano kabla ya Ukweli ,Haki na Uwajibikaji.

Sijawahi Amini kwamba katika Taifa letu tunaweza tukawa na Majitu katili kiasi hiki katika mfumo wa utumishi wa Umma.Mungu Awalaani kabisa kila mmoja hadi kizazi chake cha 4.

HUU NI UHALIFU MKUBWA SANA NA HAUTAKIWI KUONEWA AIBU.ALIYE PANGA ,ALIYERATIBU NA ALIYETEKELEZA LAZIMA KWANZA WAWAJIBIKE KILA MMOJA KWA KADIRI YA MATENDO YAKE.

UNYAMA HUU HAUVUMILIKI

BAK MWABUKUSI.
 
Tunaenda kuchukua nchi yetu..is not too late...mambo yanajipa..wenyew huko matumbo joto
 
Wale mlookuwa mnamshangilia huyu kigagula baada ya kifo cha jpm mnajisikiaje?
 
SAmuya anashangaza sana na washauri wake, yaani kwa akili zao wanadhani watz watasahau kirahisi hayo mauaji...atajuta!.
 
MTU NI UTU NA SIYO KILA MTU ANA UTU.

NIMEONA VIDEO KWENYE UKURASA WA DADA MANGE KIMAMBI.
NInapotizama video hizi za ndugu zetu walio uwawa na kulundikwa mithili ya Mikungu ya Ndizi kutokana na maandamano ya tarehe 29 oktoba 2025 Inahitaji moyo wa kishetani kuzungumzia maridhiano kabla ya Ukweli ,Haki na Uwajibikaji.

Sijawahi Amini kwamba katika Taifa letu tunaweza tukawa na Majitu katili kiasi hiki katika mfumo wa utumishi wa Umma.Mungu Awalaani kabisa kila mmoja hadi kizazi chake cha 4.

HUU NI UHALIFU MKUBWA SANA NA HAUTAKIWI KUONEWA AIBU.ALIYE PANGA ,ALIYERATIBU NA ALIYETEKELEZA LAZIMA KWANZA WAWAJIBIKE KILA MMOJA KWA KADIRI YA MATENDO YAKE.

UNYAMA HUU HAUVUMILIKI

BAK MWABUKUSI.
katika dhambi ambayo nitakufanayo ni kusamehe ujinga huu nitakufa na dhambi yakusamehe mauaji haya wala hamna mshida
 
Back
Top Bottom