tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,038
Katika press aliyoiitisha Rais wa Tanzania Law Society (TLS) Boniphace Mwabukusi amesema maelezo ya Polepole ni mazuri lakini hayana facts.
Maelezo hayo yameibuka mara baada ya mmoja wa waandishi kumtaka Mwabukusi aelezee suala la Polepole kuwa mifumo inasoma akiirejelea mifumo aliyoisema pole kuwa INEC, NIDA na CCM zinasoma ili kupata taarifa za watanzania.
Soma pia: Nawaza tu kwa jicho la tatu Mwabukusi amelamba asali