haki na uwajibikaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    JamiiForums Tanzania Anaandika Wakili Paul Kisabo: Nimetoka Ukonga kuzungumza na Tundu Lissu. He is fine na anawasalimia wote

    I remain optimistic about tomorrow but am also prepared for the worst, so if the best comes, I will go straight to Arusha to take my brother home. If the worst happens, then the struggle will continue. It will not be the end of the world; it will just be a new chapter in the struggle for...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Je, Godbless Lema atahudhuria hukumu ya Tundu Lissu kesho?

    Kesho, Novemba 6, 2026, macho na masikio ya wadau wa siasa nchini yataelekezwa mahakamani kusubiri hukumu ya kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu. Hata hivyo, kuna swali ambalo limekuwa likinijia akilini: Je,Godbless Lema atakuwepo mahakamani kushuhudia hukumu hiyo? Swali hili...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Boniphace Mwabukusi: Ukweli, haki na uwajibikaji ndio vitaliponya Taifa

    Wazungu wa Afrika kusini tulikuwa hatuwapingi kwa rangi yao, tulikuwa tunawapinga kwa ubaguzi wao hatuwezi kuwa na Makaburu hapa, halafu tukawaheshimu kwa sababu ni weusi ni makaburu." Mwl.JK NYERERE. Tumefika katika nafasi ambayo ,tunavuruga chaguzi zetu bila aibu,tunatumia risasi za moto...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Elias Mungure: Heche ,Mnyika ndio wasemaji wa CHADEMA kuhusu maridhiano

    Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Arusha, Elisa Mungure, amesema Chama hicho kinahitaji maridhiano ya haki na si maridhiano ya ulaghai wala kitapeli, akisisitiza kuwa hadi sasa mazingira ya maridhiano hayo bado hayajapatikana na kwamba wasemaji kuhusu maridhiano kutoka katika Chama hicho ni Makamu...
  5. C

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yasisitiza fidia kwa wahanga kumbukizi mauaji ya Oktoba 29

    Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika, ameitaka Serikali kuruhusu uchunguzi huru wa kimataifa na wa kitaifa ufanyike kufuatia matukio ya mauaji ya Oktoba 29, 2025, huku akisisitiza kuwa familia za wahanga wa mauaji hayo pamoja na majeruhi wanapaswa kulipwa...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Mwabukusi amuonya Godbless Lema Heshimu mitazamo ya watu wengine

    Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniphace Mwabukusi, amemtaka Godbless Lema na wanaharakati wengine kuheshimu tofauti za kimtazamo na kimkakati katika harakati za kudai demokrasia, akisisitiza kuwa kutokubaliana hakupaswi kuwafanya wasahau malengo yao ya pamoja. Katika...
  7. C

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Matukio ya Oktoba 2025, sihitaji Ripoti ya Jaji yeyote! Niliona kwa macho yangu

    Wakati taifa likiendelea kukumbuka na kujadili jeraha kubwa la kisiasa lilioachwa na Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, mkazi wa Mkoa wa Mbeya, Ayubu Mwaisumo, ameibua mazito na kuikabili serikali bila kificho kuhusu umwagaji damu uliotokea kipindi hicho. Akizungumza na SasaLive kutoka Uyole, jijini...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Rashid Chilumba: Jitahada za kutaka watu wasikumbuke matukio ya October 29, mara zote haiponyi bali huongeza Machungu

    Mwaka mmoja uliopita watu zaidi ya 500 waliuawa nchini Tanzania, wengi kwa kupigwa risasi za moto zilizofyatuliwa na wale ambao manusura, mashuhuda, vyama vya upinzani na mashirika ya haki za binadamu yanasema ni maafisa wa usalama waliodhamiria kuua. Kwa yeyote aliyetazama video za siku ya...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Tathmini ya Matukio ya Oktoba 29, 2025 baada ya Mwaka Mmoja: Ukweli, Uwajibikaji na Haki

    TATHMINI YA MATUKIO YA OKTOBA 29. 2025 BAADA YA MWAKA MMOJA: UKWELI, UWAJIBIKAJI NA HAKI 29 Oktoba 2026, Dar es Salaam 1.0 Utangulizi Leo, tarehe 29 Oktoba 2026, tunawakumbuka waliopoteza maisha katika matukio ya wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa 2025. Tunasimama pamoja na manusura...
Back
Top Bottom