Mvuto wa mwanamke ni sanaa tu

Mvuto wa mwanamke ni sanaa tu

mkuu mimi nadhani umeleweka uliandika kwa kiswahili uzi wako, ila hapa mwishoni
umepaka hina vibaya mpaka umaharibu urembo wote wa uzi wako.
maaana umechnganya pilau na mrenda.

mkuu kuna mshairi mmoja aliandika hivi
When God wants to build a man
And fill a man
And skill a man
...
kwa jinsi nilivyo muelewa hapo anatumia term build kutoa sifa ya kitu ambacho kimetengenezwa kwa uzuri wa ajabu. so mi naona nipo sahihi nilivyo andika hivyo kwa kusifia umbile la mwanamke
 
ok , yawezekana ukawa uko sahihi, kwnai nami una nifunza kitu cha kipekee
kwa ubongo yangu. Ila ngo 'prescriptivists" waje kutembelea muundo wa kisarufi.
 
kivipi Elimu--- Elimu ---Elimu....?

Elimu 1: tujitahidi kupata elimu ya kutuwezesha kuishi ktk huu ulimwengu unaobadilika kwa kasi ya ajabu (acafemic education)

Elimu 2: tupate elimu ya kiroho ili tuwe na maadili mema tumwogope Mungu na tuwapende binadamu wenzetu ( spiritual enlightment)

Elimu 3: tujifunze kwa umakini kuhusu mifumo mbalimbali ya kisiasa na kijamii (socialization).

Elimu Elimu Elimu !!!!
 
Asanteeee mama mdogo.
 
elimu ni muhimu sana lakini hiyo elimu inatolewa katika mazingira gani?
 
Elimu 1: tujitahidi kupata elimu ya kutuwezesha kuishi ktk huu ulimwengu unaobadilika kwa kasi ya ajabu (acafemic education)

Elimu 2: tupate elimu ya kiroho ili tuwe na maadili mema tumwogope Mungu na tuwapende binadamu wenzetu ( spiritual enlightment)

Elimu 3: tujifunze kwa umakini kuhusu mifumo mbalimbali ya kisiasa na kijamii (socialization).

Elimu Elimu Elimu !!!!

elimu ni muhimu sana. lakini je mazingira inayotolewa hiyo elimu yapoje
 
Back
Top Bottom